hata uchumba unatosha.
Ukweli unaumiza sana. Uliyoyaandika ni ukweli mtu. Na siyo tu hao wanaojiuza ila ni watu kabisa na heshima zao na msitazame upande wa wanawake tu na hata wanaume na tena ndo vigogo wakubiligisha na kupamba viburudisho kila aina, na mbaya zaidi hawachagui. Mimi sioni umhimu wa kumnanga sana huyu Wema, ni umaarufu wake ndo unamponza. Majogoo ndo yanamatatizowengine huko mtaani wanagongwa kila siku..... Si ajabu wanajaza costa.................... Ila hamuwasemi.....
Mwacheni, maisha yake, mashine yake na vidole vinavyovaa pete ni vyake...
Duuh, hajijui masikini men are dogs, wakishamaliza hamu wanamtupa!