Wema Sepetu Gambani


mwanangu Ronn M, wala usishangae sana, ukiona mtu hana nidhamu hata ya mavazi ambayo yanatambulisha utu wake basi ujue mtu huyo kakosa maadili na hakuna jina jepesi la kumwita.

binafsi kama ni mm naenda sehem kama hiyo kitenge kirefu hadi chini tana kisichokuwa na mpasuo kingehusika hapo. tight kama hiyo naweza ivaa nikienda shopping ama nikienda kukutana na friends just for drinks baasi.
 
Last edited by a moderator:
Jamani hata akili ya kufikiria hakuna. ..shughuli kama hiyo mtu sijui ndo mgeni rasmi anatinga na tight yeah skintight ndani ya watu wazima wenye heshima zao.

Bongo ...its long way guys

Kwani hao wazee una uhakika kama wana nguo za ndani?
 
Jamani hata akili ya kufikiria hakuna. ..shughuli kama hiyo mtu sijui ndo mgeni rasmi anatinga na tight yeah skintight ndani ya watu wazima wenye heshima zao.

Bongo ...its long way guys


ACHAA WIVU madameX,,ulitaka avae gauni??? wacha wazee wajionee uzinduzi huo
 
nikiangalia kwa haraka sijui anamvutia nani hapo au kina Ray wenzie maana yake huyo tu ndio hajagusa huo mwili
 
Ama kweli heshima ni pesa....shikamoo ni kelele tu. Ukiwa nazo kumbe unaweza ukawaburuza sana tu.
 
bonge la msemo tu..........pesa ndio heshim shikamoo ni kelele tu
 
hapo ni uzinduzi wa kilimo kwanza au usanii kwanza?angalia wazee wa watu wanavyomuangalia binti kwa sura zenye alama ya kuuliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…