Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,511
- 6,888
nadhani walifanyia gizani hakuliona tobo
kama kwaya master vileHahaaa
Ahaaa
Uuuhhhh
Iiiiiiiiijj
Eeehhaaareee
Nmecheka sanakama kwaya master vile


Huyu jamaa sijui PCK naona kama ni msanii anatafuta kiki,hana tofauti na Dr Shika.
Lofa tu hili, limbukeni la K
Enzi zake alikua mzuri mno
Sijui kwanini ameamua kuishi hivi
Kwa jinsi alivokua vile enzi za kanumba ningekua DAR ningetangaza ndoa