Wema nimemtengeneza, hawatamuweza tena - Mama Wema

Hizi tabia za wakina mama kuona mtoto wake bora kuliko mtoto wa mwenzie ni upumbavu akumbuke alipotoa wema ndipo mama dimond alipomtoa dimondi wakina mama jifunzeni kupitia mama huyu anaonekana kumulea mtoto wake vibaya asitafute sababu aisee mshirikina sana hana hata chembe ya utu namkumbuka sana mama angu kunilea hivi niliposfikia nisingekufananisha hata kidogo na mama huyu
 
Like Mom Like Daughter..huyu mama hana busara na hata shule nina mashaka nayo..mswahili na mshirikina sana anaonekana..yani una ropoka kumtengeneza kwa mganga binti..what a shame..? ngoja aje zamaradi mketema na ID yake ya Mrembo By Nature aanze kumwaga mitusi!

Teh teh teh nipo nimejaa tele mwaya, wasemaje nimeona umentaja hapa
 
wanasema wazazi wako ndio Mungu wako wa Duniani...
Asa huyo Mama nae Mungu?
Mungu anaenda kumtengeneza mwanawe?

Kwangu mimi piga ua, funga kamba buruza kwenye lami lakini end of the day Miss Tanzania kwangu atabakia kuwa Hoyce Temu.
 
Wema got her beauty from her mom....
What a combination...
 
huyu mama wema nae ni roporopo.anamaanisha nini pale anapomsakama diamond?na hata kufikia hatua ya kusema atashuka muda si mrefu?kwani diamond ni wa kwanza kumpenda wema na kumuacha?.....huyu mama nae anasaka mabwana kwenye media tu
 
Ameongea point moja tu huyu mama., kuchukizwa na dharau za diamond kumvisha pete wema bila ridhaa yake. Siku hizi naona imekuwa fashion watu hasa wasanii kuvishana pete za uchumba bila kushirikisha wazazi., watanzania tunasahau mila na desturi zetu., kwa mila zetu huwezi kumchumbia binti bila ruksa ya wazazi. Tumekuwa wajinga na kuiga lyf style ya mbele... Ukimvisha pete demu nakumchumbia inamaanisha mnaweka malengo ya kuoana., sasa unapochumbia bila makubaliano na wazazi., posa utapeleka kwa nani wakati wao hawakutambui?
 
Nilimwona mwanzo mwisho. mama anatetea kuwa wema ni mtu mwenye tabia nzuri mama anaonekana mshamba na mshirikina wa ukweli. mama amdisqualify diamond na marafiki wa bintiye. wamama tunahitaji ushauri wa makuzi ya binti zetu.
 
Elimu inahusu my sister hivyo we ukimwangalia mama wema huoni elimu inahuu ndugu
 
Hamnaga kitu kinaitwa mungu wa duniani futa hizo kauli dhaifu, mungu ni mmoja tu naye si binadamu wala hana udhaifu wa kibinadamu wala hana wa kufananishwa naye. Dingi naye aliwahi kuropoka one day nikamwambia mzee tulia ikibidi kaungame we ni binadamu usijifananishe na mungu akatulia kimyaa mzee mzima
 
Nikishikwa na butwaa na maongezi ya huyu mama, mke wa balozi, mswahili kiasi hiki? Kweli Wema kaharibiwa na mammake na wala si marafiki. Mama kakosa hekima kabisaaaaaaaa, nashukuru Mungu kwa hekima kidogo alonipa kwani nawezaa kuchagua la kuongea mbele za watu.
 
na huyo editor wa hicho kipindi anafanya kazi gani?........akuona kama hayo maneno hayapaswi kuongelewa mbele ya camera na hayana funzo lolote kwa jamii bali kumdhalilisha mama kama kashindwa kumlea mtoto wake ipasavvyo.
 
Wanaume wanaochangiaga threads za Wema au Lulu naona kama ni wale wanaume wambea wambea...
 
Back
Top Bottom