Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,898
- 828,502
Miaka mingi iliyopita, huyu mzee alifanya maamuzi ya kiume kinoma. Alimchukua binti mdogo aliyekuwa anahitaji hifadhi na kumpokea kama mwanaye wa kumzaa. Kipindi hicho binti akiwa mdogo, mzee alikuwa anambeba mgongoni na mikononi.
Alimbeba kwenda kwa madaktari wakati anaumwa
Alimbeba asubuhi kuelekea shule.
Muda umepita, na sasa mambo yamegeuka kifyoto. Yule binti sasa ni mwanamke shupavu, na mzee sasa amekuwa mzee, hatua zake zimekuwa nzito na mwili umechoka. Lakini mwanangu, hapa ndipo utajua kuwa wema hauozi mtaani.
Sasa hivi, ni zamu ya binti kumbeba baba yake.
Inatuchana kuwa jinsi unavyowatunza watu leo wakati wana nguvu ndogo, ndivyo watakavyokutunza kesho wakati wewe utakapokuwa huna nguvu.