Wema na Idris ni wapenzi kweli?

Zamaradi si ndo kaxaa na ruge au,warumi karibu ukoment tuu post za nifah maana amna namna
 
Ni Hatareee,Wema na Zari wote wazuri jamani,sema tu kila mtu hapo Ana extra kumzidi mwenzake,wema kwa shape na mideko yupo juu,zari mapozi yake ni shida.

✔Hilo swala la Amirijeshi ni shigda,Hizo nyaya Maza-thunderstorm kakanyaga kwa GerU maana pamoja na pesa alizokuwa nazo Yahaya hana nuru amechakaa utafikiri anakula cement.
 
duuh kwaiyo >》ruge>}}}t.h.t

No comment!
:p:p:p
 
Loooo! Miguu yangu mizuri wema hanipati hata kwa ngazi! Mbona limekugusa au na wewe una toothpicks kama dada yako bibi bomba?
Kama siyo miguu na wewe una kasoro nyingine siyo lazima iwe miguu. Haijaniuma ila inauma mnavyojua kukosoa uumbaji wa Mungu hajajiumba kaumbwa
 
Back
Top Bottom