Wema, diamond... Hakuna ndoa

Huyu Wema mi mwenyewe kuna siku nusu nimpitie sema nikaona nimpotezee tu. Nakumbuka ilikuwa Leaders J'mosi, basi nikaja kuangalia wasanii wanvyorukaruka kidali poo. Nikawa nimekaa meza ya pembeni kidogo huku napiga ze Ndovu zangu baridiii. Ghafla meza yangu ikavamiwa na Wema na Irene Uwoya eti wanaomba kinywaji. Mi bila hiyana nikawaambia waagize. Walivyoanza kulewa eti wakawa wanataka niwape lift mara oooh tununulie nyama mara oooh tunaomba vocha. Mi nikasema jamani isiwe tabu, nikawaacha wameduwaa wasielewe la kufanya. Mi huyooooo
Kweli kabisa ndio michongo yao, hivyo hivyo uwoya alijependekaza kwangu....ooh imepanda ...imeshuka..mi sikuwa na ajizi nikamchapa!
 
Baada ya TID,Mr. Blue,Kanumba,Jumbe,Chaz Baba na hatimaye Diamond tusubiri tuone sasa ni zamu ya nani kumchukua Wema

Hee we umelala hapa town, sitafuti sifa, mbona mm namkula saaana tu Wema hata yupo na Diamond, kabla na kabla, mtoto anatoa **** huyoo, hela basi, plseee waoneni tu hao mnawaita masta, no star hapa, usijidanganye una demu umemuoa anaigiza movie/musian wengi wanajiuza sana sana, pochi tu tena wanakutafuta na kukupa ratiba ya kumtia, i am serious wanajamii, nshamlaaaa saaana, hela tu tena alikuzoea ka laki tu, vyote anakupa, mwenye mke/ demu kwa wasanii mnajidanganya wapo kifedha tu, uki do nae once anakutafuta hii imekuwa biashara kubwa kwao, movies/ music hapa hailipi kwa maisha wanayotaka, nasema ole wako wajue una mshiko na upo kama mzungu unatoa say si chini ya laki kwa kila mtoko, utafuatwa we acha
 
Habari ni kuwa mama yake diamond ndio ilikuwa chanzo ya diamond na wema waachane but mama yake diamond huyo huyo ndio sababu kubwa ya wao kurudiana coz mama yake diamond kawaita wasuluhishane na kawasuluhisha na kwa sasa wema na diamond wamerudiana huyu mwanamke mama yake diamond inaelekea ana vijimatatizo fulani katika kichwa chake sio bure
 
Wema sijui kwanini imekuwa hivi ? uchumba gani huu mwanamme kila kitu 'naenda kumuuliza mama' .Wema akubali tu hapa hamna uchumba wala ndoa kila siku mama atapuliza na kuuma.
 
mhhh sidhani kama mama ndo tatizo....binti mvivu hahahahahaa ugonjwa wa kisasa!
 
sumu hii inayoitwa poison au alikunywa kwa hisia ...hawa ndiyo masupa vichaa wa bongo.
 
Wema superstar mpaka JF. Nilidhani tu ni kwenye yale magazeti ya Shigongo
 
Habari ni kuwa mama yake diamond ndio ilikuwa chanzo ya diamond na wema waachane but mama yake diamond huyo huyo ndio sababu kubwa ya wao kurudiana coz mama yake diamond kawaita wasuluhishane na kawasuluhisha na kwa sasa wema na diamond wamerudiana huyu mwanamke mama yake diamond inaelekea ana vijimatatizo fulani katika kichwa chake sio bure

dalili za mvua huwa ni mawingu...........................................kama wana busara ni kukatisha hii sinema bado mchana kweupe........................na kila mmoja akaendelea na shughuli za ujenzi wa taifa...........................but the problem of this aimless generation is that they will die young...............very young...........................childless.......................na wengi watawatetea ya kuwa wamerogwa............................because we are in bondage with the spirit of tradition..................
 
wema sijui kwanini imekuwa hivi ? Uchumba gani huu mwanamme kila kitu 'naenda kumuuliza mama' .wema akubali tu hapa hamna uchumba wala ndoa kila siku mama atapuliza na kuuma.


ushauri kwa mtoto huyu nilimwonqa kama mtu wa viwango kwa mimi diamond hamfai nachotakiwa kufanya aende kwa tb joshua nigeria akafanyiwe derivarence ana pepo anaitwa spiritual husband hata mama yake anasumbuliwa na pepo huyo
 
Back
Top Bottom