Wema afanya shopping ya dollar 40,000

Kokwa kavu

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
220
41
Dah hlo jimbuz alilopata linamwaga hela source sintah blog
 

Attachments

  • dubai-31.jpg
    dubai-31.jpg
    21.6 KB · Views: 336
  • dubai-4.jpg
    dubai-4.jpg
    14.6 KB · Views: 376
  • dubai-feb-20-2012-1.jpg
    dubai-feb-20-2012-1.jpg
    16.9 KB · Views: 417
  • dubai-2.jpg
    dubai-2.jpg
    18 KB · Views: 432
Promo Only::

Usifanye mchezo na USD 40,000 wewe ngoja nikutajie kwa madafu yetu ni millioni 64 Tsh ushanipata hapo,haya twende ni kweli huyo dada kafanya shopping hiyo? Mil64 angekua nazo angepangishia,si angejenga nyumba? Funguka hizo ni Promo tu na kumuumiza diamond!
 
huwez jua mkuu dollar 40,000 thaman yake dubai ni tofaut na tz ila kama ni kwel atakua unawaza na pu...
 
nadhan anawazimu kama ni kweli. Huwezi kuishi nyumba ya kupanga halafu unafanya shoping ya dolar 40`000/=.sijui kama ni mzima au promo.
 
Acha uongo kijana, $40000 sawasawa na tshs million 70 za kitanzania.. Labda shopping ya $400
 
ukizoea kutajwa katika media ikifika mda hutajwi unapanic na kujipa kashfa au jambo lolote!!!hizi ndo mbinu wema na washkaji zake wanazitumia na kwakuwa kuna blogs nyingi basi mengi mtasikia!nakubali wema dubai alienda na pesa ya kutosha lakini si ya kufanya shopping ya $40,000
 
Back
Top Bottom