Wema afanya shopping ya dollar 40,000

shopping hatimaye imemuumbua,kumbe pedeshee(mume wa mtu) ndo kamchomolea huo mpunga kwny account yake.Hatimaye mke wa pedeshee kamcharukia wema
 
kweli wema fungu la kukosa....

$40,000 angejenga kibanda kimgemsaidia kukiko kupewa gari ya 'familia' sasa kimemnukia
 
Back
Top Bottom