Well fungua wallet, pimp her!

Well fungua wallet, pimp her!

Vijana wenyewe wanasema wanaringia ufundi wao aka msingi kiuno.

Hahahaha, BTW dude najua PM ishafurika by now. Wakikuzidia just wengine punguzia kwangu. Waambie mimi na wewe tu mapacha katika hicho ulichokiandika.
Hebu anza mazoezi ya kuhudumia kwa atoto
 
Ukweli mtupu wengi hawajui kuhudumia hata kwa kile kidogo ulichonacho inatosha kuonyesha unamjali
 
Usimlaumu sana mkaka anaechepuka kumfuata mwanamke ambae anajipenda..utakuta yeye kaanza uhusiano na mkewe na ndo alikuwa hivyo hajipendi na aliona it's okay. So akiona kitu tofaut kiroho kinamdunda na vile ni wadhaifu basi balaa. Wanawake tunatakiwa kujiongeza..tupendeze tusisubiri kupendezeshwa. Kisa ameniambia tutoke so agharamie kichwa hadi unyayo..daaah..sidhan kama ni sawa.
That's why pimp her
 
Yani nashindwa hata niseme nini kwa jinsi ulivyonikosha!
I bet mwanamke wako ni kati ya wanawake walio na furaha ulimwenguni...
Damn!She is lucky [emoji39][emoji39][emoji39]

BTW;Mmefikia wapi na dokta mrembo?
[emoji126][emoji126][emoji126]
 
wewe mkaka nimekupenda bure
mkaka anataka ukamtembelee wkend au mtoke out wkend ukikataa anasema unaringa
aya toa hela ya kujiweka fresh kwa mvuto ooh njoo hivohivo yaani mtu utoke gongo la mboto hadi kijitonyama kwa mpenzi na mabutu kichwani jamani? je ukikutana na mawifi si watakudharau?
Huhuuuuuu ndio maana nakupenda Miss wangu.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Yani nashindwa hata niseme nini kwa jinsi ulivyonikosha!
I bet mwanamke wako ni kati ya wanawake walio na furaha ulimwenguni...
Damn!She is lucky [emoji39][emoji39][emoji39]

BTW;Mmefikia wapi na dokta mrembo?
[emoji126][emoji126][emoji126]
yaani natamani kumtumia pm basi tu mikono inauma
huyu ndo mwanaume sasa
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Well, habari zenu Waungwana? Vipi mnafanya deposite au ndio pata pesa starehe zikujie zaidi?.

Wanaume wengi tumekua tukivutiwa na wadada wenye mvuto, hasa wanaojipenda mfano wasafi, wanaonukia vizuri,ngozi zenye matunzo, kimsingi ni modern ladies

Kwa asili wanawake wanajipenda sana hasa ukikuta anapokea matunzo ya kutosha toka kwa anaemmiliki, unaweza tokwa udenda akikatiza njia zako

Lakini unakuta jamaa anataka kutoka na mdada mrembo na amemkuta hivyo, ye anataka apige tu, kutunza mtoto azidi kuvutia hataki. Wanaume wa dar Wanasema kupiga kisela, cha kushangaza akiwa kwa washikaji zake anavimba kuwa huyo ndio manzi wake lakini kugharamia hataki.

Kuna huyu mwengine yeye ana mke wake wa ndoa na wamezaa nae, alimkuta mtoto wa watu anamvuto anavutia kweli kweli lakini baada ya kumfuja kashindwa kumtunza anakimbilia modern ladies pengine nao wamezaa lakini wanajitunza, macho yanamtoka kwa mvuto alionao.

Guys it has to make sense hakuna haja ya kutolea macho mali za watu wakati watu wanagharamia, well hutaki kufungua wallet kutunza ulie nae, go for one night stand wapo wengi wamejaa.

Unataka mtoto usimchoke kila ukimuona, weka mzigo kwenye bajeti ya matunzo, huwezi?, acha wanaoweza wafanye na ukiwaona wanavutia usitokwe na macho tambua kwamba kuna wanaume wanagharamia SIMPLE!!

Mkeo hana mvuto well PIMP her

To all wapenda mteremko, samahanini lakini I'm just being honest with my name UrbanGentleman!
Waliotegemea kutunzwa wameishia kuwa ma single mom. Wewe vaa weka baadhi ya sehemu ya mwili nje ukijua ndio kupendeza na kuvutia, wanaume wanatamani wanakupa hela wanakuchapa na kukuachia mtoto. Kwenye dunia ya sasa hamna mwanaume ataoa ujinga may be wale wanaume wajinga. Weka sehem za mwili nje tafuna hela ya wanaume sana mwisho wa siku utaisoma namba.
 
Kwani kutunza mpaka avae kiajabu jirani?? Anaweza kujistiri safi tu
 
Kuna gari zamani zile nilikuwa nalionaga limeandikwa "kitunze kidumu"
 
Yani nashindwa hata niseme nini kwa jinsi ulivyonikosha!
I bet mwanamke wako ni kati ya wanawake walio na furaha ulimwenguni...
Damn!She is lucky [emoji39][emoji39][emoji39]

BTW;Mmefikia wapi na dokta mrembo?
[emoji126][emoji126][emoji126]
About Dr ntakupa mrejesho natoka nae this Saturday
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom