Well fungua wallet, pimp her!

Well fungua wallet, pimp her!

Bora hata umeongea...kuna mijitu unaweza inasa vibao.... Kwa kusifia tu no.1 kila akikuona "umependeza" muulize kagharamia nn... Hata fursana ya jero hanunui...
Hahahah sema nae ataelewa hahah
 
Usimlaumu sana mkaka anaechepuka kumfuata mwanamke ambae anajipenda..utakuta yeye kaanza uhusiano na mkewe na ndo alikuwa hivyo hajipendi na aliona it's okay. So akiona kitu tofaut kiroho kinamdunda na vile ni wadhaifu basi balaa. Wanawake tunatakiwa kujiongeza..tupendeze tusisubiri kupendezeshwa. Kisa ameniambia tutoke so agharamie kichwa hadi unyayo..daaah..sidhan kama ni sawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom