Gentleman,
pamoja na hisia zako huru nje ya hoja mahususi mezana,
bilashaka tunakubaliana kwamba wakili Nassoro Katuga ni darasa la kipekee sana kwa mawakili vijana nchini right?
'Mahakama hii haiangalii uzito au kuaminika kwa ushahidi' Jaji Ndunguru
kiukweli mashahidi wa Lisu ni kama vile wamemkaanga na kumsagia kunguni mwenyekiti wao tu.Ni sahihi yule Wakili amekwiva, mashahidi wa Lissu wanakinzana kwenye ushahidi kila anapo wapiga maswali. Wao wanataka sifa za za wanaharakati yeye anaweka hoja za kisheria
Endelea hivyo hivyo na ufala wakoUnapongeza Wewe, Aibu Naona Mimi!
Nilipofuatilia mawakili wa Serikali wanavyohoji mashahidi kwenye kesi ya Lissu,nimesikitika sana.Kwamba kumbe inawezekana ni kwa sababu huwa wanawashtaki vibaka ambao hawajui kujitetea ndiyo maana wamejisahau.Unafanya kazi nzuri sana Baba ya kizalendo,
na umesimama imara sana kwenye nafasi yako kama wakili mbobevu na mahiri Tanzania. The country is proud of you Mr.Katuga.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
siasa kwenye sheria ni kujitia kitanzi kirahisi tuNilipofuatilia mawakili wa Serikali wanavyohoji mashahidi kwenye kesi ya Lissu,nimesikitika sana.Kwamba kumbe inawezekana ni kwa sababu huwa wanawashtaki vibaka ambao hawajui kujitetea ndiyo maana wamejisahau.