welcome to my new website

ila ngoja nifikiri baada yake

Wix wanatengeneza flash websites ambazo ni website za kizazi kipya good looking yani inavutia macho.

Sasa yeye kachagua template akapenda website yake inavoonekana nzuri kuliko za wengine (non flash) then ndo amekuja kuonesha japo hana content
 
wale wale
kuna wakati ifike watanzania lazima tukubali kukosolewa ili tuendelee...siwezi nikampa sifa kwa kitu ambacho hakiko sawa..tena ni bora angeanza kwa kuomba mawazo kwamba tunaionaje site yake..lakini yeye amekuja moja kwa moja kwa kutukaribisha kana kwamba ameshamaliza kila kitu na site iko tayari kutumika!! mbona kuna wengi tu wanakuja humu wanaomba ushauri juu ya designing ya site zao kwanza na wanakosolewa inapobidi na kuelekezwa nini cha kuongeza/punguza?? na hata wanaostahili hongera ni wengi tu wamekuwa wakipewa hongera zao...sasa wewe ulitaka kumpa hongera kwa hili?? ni kuvishana ujinga huku..kama amekosea hapa mtu ni lazima upewe za uso ili ukae chini ufikirie upya na kurekebisha panapobidi ukishindwa kabisa JF ipo kwa ajili yako!! njoo omba msaada kwanza sio kuja na kuanza kutangaza kitu chenye makosa!! Site yenyewe umeitembelea kwanza? umeona lugha aliyotumia? mimi sio mtaalam sana wa kudesing sites lakini kwa chache nilizowahi ku design JF ndo ilikuwa na mchango mkubwa sana mpaka hapo nilipofikia.. Ingekuwa ni makosa ya designing hapo sawa lakini na lugha pia??! NO WAY...
 
ila ngoja nifikiri baada yake

Wix wanatengeneza flash websites ambazo ni website za kizazi kipya good looking yani inavutia macho.

Sasa yeye kachagua template akapenda website yake inavoonekana nzuri kuliko za wengine (non flash) then ndo amekuja kuonesha japo hana content
umeona sasa...sasa kama hamna contents then what to be seen?? kama ni designing ni kazi ya Wix..sasa watu walitaka tumpe hongera kwa ku select designing au? ukisema watu wanaona unamkandia kumbe si kweli..lets be honest to each other if we need to make a better IT world in TZ..
 
Back
Top Bottom