Welcome to MSALANI

Tumpe nchi padre slaa waziri mkuu dj mbowe sugu na akina lema wawe mawaziri pamoja na Tundu Lisu ivi ndugu unafikiria nini labda.


Mchango wako umejaa kejeli ukabila na usio na chembe ya uelewa tunajadili hoja wee unajadili watu na makabila yao huu ni upuuzi wa kiwango cha juu kabisa
 
msalani kwangu ndio hapo
Mbona vilivyoko ndani hujatuonesha? Nina uhakika ukiingia ndani utakuta lundo la t-shirt zimeandikwa 'Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania' Hizo t- shirt ni za kujisafi!
 
Ningeweza kuaplod hii video kwenye huu uzi ningeziba mdomo hao wanaosema watu wa vijijini hawataki mabadiliko
Tena wanawalaumu wa mjini...
 
msalani kwangu ndio hapo

Yaani ndugu yangu sisi wana jf. tusingetaka kumpoteza mmoja wetu njiani. Kwa picha hii wenye chama chao hata bila kusubiri rais kuwekea saini sheria ya mitandao wakikusogeza kwa pilato utajuta. Ukiambiwa na mahakama ukaonyeshe hicho choo chenye mlango wa bendera ya chama chao nina hakika huwezi. Mbaya zaidi wakikute kwako hicho choo watakulima mawe hadi ufe hata kabla ya hukumu ya pilato. Ukiwaambia ni photoshop watakwambia uliitengeneza wewe. Labda waamue kukupuuza tuu. Vijana anzeni kuwa waangalifu na hii mitandao. Tafakari!!!!
 
Last edited by a moderator:
hiki choo kimejaa uchafu, kinastahili kubomolewa October.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…