KILIMANJARO BANA

Abdul mrope

Member
Jul 6, 2017
37
79
Kilimanjaro Bana wanachekesha
Etii angalia virefu vya Maneno
MOSHI=Mungu Onyesha Sehemu Hela Ilipo;
ROMBO=Ruhusu Ongezeko la Mapesa Bila Ombaomba;
HIMO=Hata Ikipungua Mungu Ongeza;
MARANGU=Mungu Angalia Raia Ngawira Utuhakikishie;
MAMBA=Mungu Ahidi Mapesa Bila Ajira;
MWIKA=Mungu Wekeza Ishara Kwenye Akaunti;
URU=Usitunyime Riziki Uchumi;
KIBOSHO=Kila Ikipungua Baba Ondoa Siasa Hela Ongeza;
MACHAME=Mungu Atupe Chanzo Halisi na Ambacho
Mapesa ni Endelevu na
KISHIMUNDU=Kwetu Ikikosekana Shilingi Mungu Nakuapia Dunia Utaichukia! Rusha sms hii kwa wachagga wote *waambie tunasaka mahela na hatupendi ujinga sisi*
 
Hahahaha... Shimbony..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom