no one like you
Member
- Aug 27, 2014
- 43
- 11
Naitwa James, napatikana Iringa, umri wangu ni miaka 26, sijaoa na ni mwanaume, nimejitokeza kwa mara ya kwanza hapa kutafuta mchumba mweupe wa kabila lolote ila asiwe anatokea mbali sana toka iringa, kwa yeyote aliesingle anipm kwa kunitumia namba yake.