Ni kwamba other members wapo wasap katika group kujadili wapi pazuri pa kufanya party hiyo ila mpk now tumekubaliana kila mtu atoe elfu kumi kula na kunywa ila sehemu ndo tunahitaji Mawazo ya watu wengine labda tungepanga bar kumbe watu wengine bar hawapapendi so ndo maana nikasema mje wasap lipo group tupange place nzuri kila mtu atoe wazo lake not badWeka details zakutosha kuhusu hiyo party
WhatsApp kufanya nini ?. Kama unataka wahudhuriaji kila kitu weka bayana hapa.