Welcome Home Broda... Who's next Bashir or...

Welcome Home Broda... Who's next Bashir or...

Zed

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2009
Posts
553
Reaction score
541
Charles Taylor rais wazamani wa Liberia akimkaribisha Gbagbo rais alitolewa madarakani wa Ivory Coast lupango ya ICC huko Hague. Duh angalau sasa ICC inawaogopesha maanake huko ndio wanapata pensheni yao... Tuangalie katiba mpya Tanzania isipeleke mwingine huku
cartoon021211_01.jpg
 
HAKUNA RAIS MSAFI AFRIKA!

:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
 
Tukipambana bila kuchoka wala woga, miaka si mingi na sisi tutampeleka mmoja au kakundi fulani huko.
 
Wazungu hasa wamerekani sio wa kuwaamini; angalia historia ya wakina Mobutu, Laurent Kabila na Mubarak wa Misri wote hawa walikuwa marafiki kwa kukomba mali za nchi zao lakini mwishowe iliwabidi wawatose!! Tanzania should be extra careful in its dealings now that they have found URANIUM deposits in their country!! Americans will want to control the destiny of these minerals lest they fall into the hands of terror organizations. Americans are also closely watching Kikwete's close relationship with the muslim countries who have been bankrolling him personally of late!! Double dealing could land him into serious trouble.
 
Icc is only for africans? What about George Bush & blair.
 
Icc is only for africans? What about George Bush & blair.

nnavyofahamu ni kuwa ICC ilipoanzishwa kulikuwa na makubaliano fulani ya international community...USA si katika signatory
wa hayo makubaliano, walikubali pale mwanzo katika kuianzisha wakati wa Clinton, baadae alipokuja Bush wakajitoa kwa sababu zilizo wazi...so ICC is not applicable kwao.
unaweza kutazama hapa for more info. States parties to the Rome Statute of the International Criminal Court - Wikipedia, the free encyclopedia

amma kuhusu waanglikana, kwa bwana Cameron..wao ni bendera fata upepo kama sisi tu.:juggle:
 
Back
Top Bottom