Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
hahahahahaha so unapenda waendelee kukupigania
bado bado kidogo shem! nina kamwaka kazima aisee sijakamaliza kabisa!
next year july ndo ntakuwa huru na mizunguko ya kalamu shem!
mzima lakini wewe?
Hahahahaha chezea kupiganiwa wewe?Ulishawahi kupiganiwa wewe?
Hahahahaha chezea kupiganiwa wewe?Ulishawahi kupiganiwa wewe?
Kupiganiwa kuna raha eeh?
mi sijawahi lol afu rich pol si alikuwa wa kwako
Sijawahi kupiganiwa my wi so sijui hata utamu wake au ni stress yani hata sielewi
Kwani mume wako nani?
Aisee..
Wewe ndiyo ulimchomoa kwangu ukamuweka sehemu.
Mapenzi mimi napenda yaende automatically, if she loves me atabaki na mimi, if she run away najua siyo mipango ya Mungu, wewe unaweza ku force kupendwa?
Wewe ndiyo ulimchomoa kwangu ukamuweka sehemu.
Wala hata usimsingizie mtoto wa watu tatizo wewe haujatulia yani ukiona kichaka unabanwa.
Vipi lakini my wi mzima wewe.Msalimie kaka yangu mwambie weekend nitakuja kuwasalimia please mniandalie ugali na mlenda