Welcome back my lovely wife Charty

Nakwambia my wi yani wabaya tuna shida?Ila uzuri wa mtu upo machoni so na sie tutapata wakutupenda na ubaya wetu

Hakuna mbaya dunia hii shostto...as long as sabun za roho zpo kbao benk..
 
Best tupo dilemma cos kila upande unasema charty ni wake
Na bibie hatokelezei aseme ukweli nani kipenz cha roho yake

Sijui na yeye yuko wapi watu hapa tuna hamu yakusikia nani anammiliki.Hebu charty njoo huku mumie tunakuita
 
Last edited by a moderator:
ichana, ujue huyu binti anaegombaniwa hapa.
si chepuko kwangu, nilimwanzaga mimi naona na wengine wanataka kujaribu.
ni mzuri lakini.

Mkuu shemeji yangu shansarie hajambo?
 
Last edited by a moderator:
ichana, ujue huyu binti anaegombaniwa hapa.
si chepuko kwangu, nilimwanzaga mimi naona na wengine wanataka kujaribu.
ni mzuri lakini.

Aiseee kuwa mzuri raha.Yani unagombaniwa jamani hadi raha jamani.Nasubiria gazeti la udaku ndo nilale kiwatengu
 
Last edited by a moderator:
nilijua tu rich ukisoma hapa lazma ukimbilie kwa mke wangu...

yuko vizuri.

Mkuu unasheria kali sana, haonekani siku hizi, unamfungia, ila safi sana, mambo kama haya hayawezi kutokea, nitafuata nyayo zako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…