Welcome back Chimbuvu... mhanga uliyesalia

JosephElly

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2012
Posts
2,432
Reaction score
1,035
Dah.. Hatimae mjomba Chimbuvu amefunguliwa toka kifungoni leo.... Nadhani huyu ndio mhanga aliye kuwa amesalia katika server room, baada ya Chilli noahism na Baba V ... :welcome: back... Sasa Chit-Chat ni sehemu salama tena... Thnx to Moderator and Invisible
 
Last edited by a moderator:
Humu chit-chat nikuja kinyatu_nyatu! No ku shout! No kutusi! Ukitus tu! Jamaa linabonyeza Report Abuse! Kwishney
 
Welcome back Chimbuvu, our wife Madame B and mzungu hunbig missed u sana. I've been takin a very good care of our wife. Karibu sana mume mwenza.
 
Last edited by a moderator:
Am back again,thank you bro kwa kuwa mary Hunbig na mzungumndali walipanga kunimaliza ila wamejimaliza wenyewe

Dah.. Hatimae mjomba Chimbuvu amefunguliwa toka kifungoni leo.... Nadhani huyu ndio mhanga aliye kuwa amesalia katika server room, baada ya Chilli noahism na Baba V ... :welcome: back... Sasa Chit-Chat ni sehemu salama tena... Thnx to Moderator and Invisible
 
Last edited by a moderator:
Humu chit-chat nikuja kinyatu_nyatu! No ku shout! No kutusi! Ukitus tu! Jamaa linabonyeza Report Abuse! Kwishney

Amekwisha yule mzungu hunbig. Chezea watoto wa mujini weye!!
Utajirambaaaaaaa!
 
Hahahahahahaha ilo suala tutaliwekea kikao rasmi na itabidi tusitishe huduma ya kupokea wageni CC kwa muda

hatimae amerudi kwa huruma ya invisible.... Ila naona bado anaona aibu kwa kuwa yeye ndo alipokea nusu mahari ya stevoh
 
Last edited by a moderator:
Ulimrudisha jana nyumbani kwangu baada ya whiteparty?

Welcome back Chimbuvu, our wife Madame B and mzungu hunbig missed u sana. I've been takin a very good care of our wife. Karibu sana mume mwenza.
 
Last edited by a moderator:
Halafu nikashangaa haijapita hata dkk 5 kaanzisha uzi ' chimbuvu kalazwa selo' haaa

Chimbuvu my kaka nilijihisi upweke na majonzi toka ulipo pigwa ban, mbaya zaidi alikua ana tuzunguka
 
Last edited by a moderator:
Ulimrudisha jana nyumbani kwangu baada ya whiteparty?

Kwani hajafika? Nilimleta asubuhi hii mpaka hapo samaki samaki akaniambia atamalizia mwenyewe safari. Kama hajafika hilo sasa siwezi semea.
 
Amekwisha yule mzungu hunbig. Chezea watoto wa mujini weye!!
Utajirambaaaaaaa!

Njegele sana yule, alidhani ataweza kutu fool all the time. nimemuona jana kwenye uzi wa stevoh akifuatilia kwa Id moja ambayo ni maarufu tu humu na kuna wakati nilishawahi kumuuliza akawaka balaa, nakusanya evidences afu ntawakabidhi mods wahangaike nae
 
To be honest, I don trust all mods!! I have a doubt with one of them.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom