Weka picha yoyote ya Mandhari hapa

Picha ya kwanza ni kali sana.

Mwanzo unaona sura ya mtu, kisha unagundua eneo ambalo kuna focus ndiyo kuna kivutio zaidi.
Ulikuwa banned au!
Nmekukosa hapa muda nkajua fundi wa picha simuoni.
 
Ulikuwa banned au!
Nmekukosa hapa muda nkajua fundi wa picha simuoni.
Ndiyo, nilikua banned aisee. Ila naona humu kuna mafundi sana wa kamera.
 
Picha ya kwanza ni kali sana.

Mwanzo unaona sura ya mtu, kisha unagundua eneo ambalo kuna focus ndiyo kuna kivutio zaidi.
Asante sana chief ,kazi ya mikono yangu... inapendeza
 
Hakuna mahali kama Arusha
Chief tulia leo ndo nimekuwa free nidondosje picha hapaa.

Arusha napaelewa kutoka kambin kuingilia majengo na mlima meru aisee pale ukitulia pocha picha nzuri watu watakataa sio chuga[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…