Weka picha yoyote ya Mandhari hapa

Weka picha yoyote ya Mandhari hapa

Screenshot_20180106-133052.png
20180104_181132.jpg
Screenshot_20180106-142359.png
 
Picha ya kwanza ni kali sana.

Mwanzo unaona sura ya mtu, kisha unagundua eneo ambalo kuna focus ndiyo kuna kivutio zaidi.
Ulikuwa banned au!
Nmekukosa hapa muda nkajua fundi wa picha simuoni.
 
Picha ya kwanza ni kali sana.

Mwanzo unaona sura ya mtu, kisha unagundua eneo ambalo kuna focus ndiyo kuna kivutio zaidi.
Asante sana chief ,kazi ya mikono yangu... inapendeza
 
Hakuna mahali kama Arusha
Chief tulia leo ndo nimekuwa free nidondosje picha hapaa.

Arusha napaelewa kutoka kambin kuingilia majengo na mlima meru aisee pale ukitulia pocha picha nzuri watu watakataa sio chuga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom