Weka picha yoyote ya Mandhari hapa

Weka picha yoyote ya Mandhari hapa

468fa351aed0b71deffbf3ccd1264992.jpg
 
Wingu limeziba tu ila ile miale yake ingesambaa vizuri kuitoa vizuri ile rangi nyekundu

Simu nilikua niliyoitumia haikua na picha nzuri sana ilikua ni note 4,mwanga wa jua ulipotoka picha nyingi hazikutoka vyema na jua la pwani si unajua linatoka kwa speed yote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom