Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,365
- 100,406
Mlima Kitonga Original huo hapo, naona watu wanazingua Wanajifanya hawajaelewa Mada
Mlima Kitonga Original huo hapo, naona watu wanazingua Wanajifanya hawajaelewa Mada View attachment 713381
Hapana hii sio kitonga mkuu
Sasa kama hii hapa. Ukinywa konyagi moja tu. Unajikuta marehemu
Mlima Kitonga Original huo hapo, naona watu wanazingua Wanajifanya hawajaelewa Mada View attachment 713381
Hapa ni pale mwanzo wa kupanda ukitokea comfort....shukrani kwa picha mkuu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] daah hii sio bongo aisee
Dah iyo basi ni kalinilicheka tu !niliwaza au niweke GANDA LA NDIZI KUWAKILISHA KITONGA
🙁🙁🙁🙁Mlima Kitonga Original huo hapo, naona watu wanazingua Wanajifanya hawajaelewa Mada View attachment 713381
Mkuu hapo patakuwa Bolivia au China
Ulitakiwa uonyeshe mfano ya jinsi ya kuweka[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]