Asubuhi yote hii hata hakujakucha vizuri jamani tayari umeshaamka na mimi!!......kumfanya mtoto wa mwenzio hivyo siyo vizuri jamani!!We ni kati ya wale wanne mmoja wao lazima awe kichaa

Acha kwanza angalao kukuche kidogo jamani!We ndio unaniwaza hunyii,hupumui bila kuniona acha nikufarijiii![]()

Nadhani ushajibiwa ,pia Kiranga nishamdaka nae anachezea dudu tu now![]()
mchukue jumla kabisa mamadah yani me mwenyewe nimeshangaa jitu lilembua macho. linaonekana kabisa bwabwa, eti mtu anamsifu.Hahahaha aiseee kumbe wanawake nanyie mnahamasisha ushoga mwanaume kavaa hereni unampongeza eti kapendeza....!!!? Hahaha daaah kiboko
Ha haa we jimilikishe tu mama. Mradi uwahudumie vizuri tu wasijenikumbuka na kurudi nyumaNna mpango huo maana mtamu balaaa,wasukuma watamu jamanii
Kwann unahic mdogo wako ataibiwa sana auMwanangu au mdogo WANGU akimleta mwanaume wa hivi nyumbani namtwanga risasi

Basi hakikisha umekula na kushiba vizuri. Wakupe vyote bila kukubania ili badae urudi tena lolWanaume kawaida yao hiyo ,mwanamke mzuri kwa mwanaume ni mama yake,ni zamu yangu kula na kusepa sina hatimiliki nao![]()