Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,117
- 165,370
Erick Erick Erick yani sijui nisemejeMwanaume lainiiiiiii
Loh sasa huyo na wewe mnatofautiana nini?
Erick Erick Erick yani sijui nisemejeMwanaume lainiiiiiii
Loh sasa huyo na wewe mnatofautiana nini?
Story yako inatusaidia niniNilishakuwaga na xmate wangu alikuwa handsome sana. alikuwa hana jeraha ata la kujikwaa. sasa vidada vya skuli vilikuwa vinampenda sana. kwa kuwa mimi nilikuwa rafiki yake namshauri wakijilenga twende tuka t.mb, alafu unanibakishia mi namalizia. cha ajabu alimukula demu wangu. nilipogundua nilienda kwa mshikaji wangu aliyekuwa dereva wa tz-kongo aniazime AK 47 maana alipata kimagenddo baada ya kumpelekea mcongoman maharrage akampa hiyo bunduki. sasa jamaangu aliporudi home akaificha juu ya dari. nikaenda kumuomba rafiki yangu ile AK 47. jamaa akaninyima ikabidi nimchimbe biti naenda kwa kova. sasa jamaangu akabaa ikabidi akaitupe ile bunduki shamba flani ambayo iliokotwaga na askari (kama mlisikiaga bunduki iliokotwa shambani zamani kidogo 2006) .
kama angenipa ile punduki ningemwaga utumbo wa yule baby face. cha ajabu ata sijui yupo wapi mpaka leo
Umenimiss sana eeehErick Erick Erick yani sijui nisemeje
Ni zaidi ya kukumissUmenimiss sana eeeh
Hahaaa hahahaaa! Naona mkono wa buriani, jamaa anaaga mwili!Rest in peace mlaliwa

Hii maana ake nini?
Naona umepata fan na weweWe ulikua wapi kufanya yako haloo
Ukifanya yako itakuwa vyema zaidi ya Dinazarde hayakusaidiii kwenye maisha yako
.

Yatawashindaa halooo hawalali kufatilia dina na ngabu aisee sisi ni homa ya jf
