Mbwa dume JF-Expert Member Jan 15, 2014 5,844 9,988 Mar 5, 2017 #2 Mafisi yakimchezea fisi mwenzao.! Dah..sory..nilikuwa sijaangalia vizuri kumbe wanachama wakicheza na mwanachama mwenzao.
Mafisi yakimchezea fisi mwenzao.! Dah..sory..nilikuwa sijaangalia vizuri kumbe wanachama wakicheza na mwanachama mwenzao.
Ranks JF-Expert Member Oct 21, 2012 2,583 1,097 Mar 5, 2017 #4 Ccm ni mafisi ndio sababu wanakazana kushindana kuishambulia nchi wakidhani ni mzoga.
Nkolandoto JF-Expert Member Sep 18, 2016 4,102 4,024 Mar 5, 2017 #5 Angalia avatar ya mleta maada ndo ujue ndugu yake anamhurumia