M mkupuo JF-Expert Member Apr 6, 2012 1,807 2,042 Mar 24, 2016 #3 Itakuwa walichelewa ndege ikawaacha!
N Ndinani JF-Expert Member Aug 29, 2010 6,978 3,888 Mar 24, 2016 #5 Wanangojea kupanda ndege ya Air Tanzania!!
W wsaria Member Jan 14, 2014 69 56 Mar 25, 2016 #8 Wanapanda ndege ya Bluetooth. ..angalia kwa makini utaiona
K Kifyatu JF-Expert Member Oct 12, 2010 3,382 3,220 Mar 25, 2016 #9 Mussolin5 said: Airport hapo Click to expand... Hawa abiria wanasubiri wahudumu wawapachike mbawa zao kila mmoja aruke kivyake. Nanusa kesi za madai hapa. Wanasheria mko wapi.
Mussolin5 said: Airport hapo Click to expand... Hawa abiria wanasubiri wahudumu wawapachike mbawa zao kila mmoja aruke kivyake. Nanusa kesi za madai hapa. Wanasheria mko wapi.
rushanju JF-Expert Member Nov 3, 2011 3,189 4,856 Mar 25, 2016 #10 Wanasubiri option "B" kama ndege imewaacha basi hata wakifungiwa kichwa cha lori wao watakuwa tela tu.
Wanasubiri option "B" kama ndege imewaacha basi hata wakifungiwa kichwa cha lori wao watakuwa tela tu.