Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 36,861
- 73,257
Wewe unagunduaje au unaenda kwa wataalamu wa ramli? 😃😃Inauma sana unapogundua rafiki yako anakuchawia
Wewe unagunduaje au unaenda kwa wataalamu wa ramli? 😃😃Inauma sana unapogundua rafiki yako anakuchawia
Kalpana Kalpana Kalpana nimekuita mara 3, umepatwa na nini hadi sikuoni huku umbumbumbuni?So tuishi kama tupo mafichoni?
Niache plz...hampendi kuniona nina furaha jamani...Kalpana Kalpana Kalpana nimekuita mara 3, umepatwa na nini hadi sikuoni huku umbumbumbuni?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Mbona kujipa tabuuu😄😄😄😄Ndiyo maana napendelea leo kilabuni naenda na sura yangu na kesho naenda nimevaa mask nabadili sauti basi nawachanganya wanakijiji mpaka raha sana
Ni katika kulinda usiri wangu dada ,hawa wanakijiji wakinizoea sana hawakawii kuniozesha wamama waoMbona kujipa tabuuu😄😄😄😄
Mungu anaonyeshaWewe unagunduaje au unaenda kwa wataalamu wa ramli? 😃😃
Mkataba wetu hauvunjiki kirahisi hivyo na sikuachi ng'oo maana sitapata Makolokolo mwingine atayenipa kitu roho inapenda kama wewe ðŸ¤ðŸ™ŽNiache plz...hampendi kuniona nina furaha jamani...
Tumewaachia jukwaaa mpk msimu uanze....😊😊😊
Nyuma mwiko wa head....Mkataba wetu hauvunjiki kirahisi hivyo na sikuachi ng'oo maana sitapata Makolokolo mwingine atayenipa kitu roho inapenda kama wewe ðŸ¤ðŸ™Ž
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Sawa tu hata wakisema umenipa limbwata wala sitajali hadi nifanikishe kazi niliiyopewa utopoloni...🙎Nyuma mwiko wa head....
Dah maisha ya sasa mmejaa ubinafsi sasa msipotoka tutakaa na nani wapenda campany 😄😄😄
Wahenga "zimwi likujualo, halikuli likakwisha"Adui anayekufahamu ana nguvu kuliko asiyekujua, adui asiyekujua hajui aanzie wapi kukushambulia