Nakubaliana na wewe kwa 100%Katika maisha yako jitahidi kuweka mipaka usiruhusu watu wakujue sana , hata urafiki uchoree mstari uwe na mipaka yake kuna maeneo usivuke. Kuna nguvu kwenye kuwa msiri,
Adui anayekufahamu ana nguvu kuliko asiyekujua, adui asiyekujua hajui aanzie wapi kukushambulia