Je wajua , kwanini diaspora wengi toka Africa , wapo nnje ila wanafanya michongo ya pesa kutokea Africa !

Je wajua , kwanini diaspora wengi toka Africa , wapo nnje ila wanafanya michongo ya pesa kutokea Africa !

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
57,475
Reaction score
164,481
Je wajua , kwanini diaspora wengi toka Africa , wapo nnje ila wanafanya michongo ya pesa kutokea Africa !!! Na hawataki kutoka nnje kuja Africa ?

Ukweli ni kwamba ukiwa nnje ya Africa unaona fursa nyingi na michongo ya pesa iliyopo Africa 😑

Ukishakuja Africa tu akili inaanza liwa na mchwa😉

Karibu pombe bwashee 🤙😉
 
1781634332377.gif
 
Back
Top Bottom