We ndo mpuuzi tena huwazii wengine,unaishi na mwanamke kama mnyama unavizia ukisikia hamu umpande,hujui hata kwanini waliwakeketa,kwasababu walioa wengi hawakuweza sana kutimiza haja zao waliwakeketa ili waweze kuwahudumia,ilibidi mwanamke aumie ili mwanaume afaidi,najua huna akili ila sikujua kama huna akili kiasi hiki