Weka mbali na wanawake. Ni mfano tu

TANZANNIA

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
1,047
384
Kwa mfano mkeo anaumwa na amefanyiwa operesheni, na hatakiwi kuguswa kwa zaidi ya mwaka.

Je, inawezekana kuvumilia?

Swali hili ni maalum kwa wanaume tu
 
ndio inawezekana japo kuna vihuduma vidogo vidogo itabidi upate kukupunguzia .lakin hivi ni oparereshen gan mwaka mzima bana
 
Ndio unaweza kuvumilia, je Kwa mfano tu Ni operation au ugonjwa gani huo??
 
Duuuh...!!
kwa wengne wataweza lkn mimi he he he itabid ka utaratibu ka next position kausike.
 
kwa mfano mkeo anumwa na amefanyiwa operesheni,na hatakiwi kuguswa kwa zaidi ya mwaka,je inawezekana kuvumilia?swali hili ni maalum kwa wanaume tu
Kuvumilia inawezekana mbona,nyakati hizo involve in alot of activities to make ur mind busy eg mazoezi,reading books nk
 
Back
Top Bottom