Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,823
Nazitaman hizoNi ndogo kuliko tundu la sindano shem
Nifanyaje nikue na minofu,nimfurahishe mume?Poleni![]()
Ikitokea unakula baba?Bby minofu labda itokee tu![]()
![]()
![]()
Davet aje kujibu hapaNa sisi masanamu ya michellin je
Swali la msingiSasa unawasaidiaje mkuu nao wawe na minofu
Kwa akili yake huyo kaamini alivyoviona
Huna cha kuwashauri kabisaNo mwenyewe sijui minofu niliitoa wapi
Nakupenda kwa kuwa hujawahi nitoa kasoro,bwana akuzidishie moyo wa uvumilivu.Kijana mwema sana wewe,hujaona sura ya baba,ndo kwanza unaniita malkia,the cutest,one and only,i love u so much babyKipotabo anaraha yake bana..mikunjo kibao inakubali
OhooNazitaman hizo
Bebe hivyo hvyo unatoshaa...guu hilo mzuka tosha kwanguNifanyaje nikue na minofu,nimfurahishe mume?
WooooooooooooozeeeeeeerNakupenda kwa kuwa hujawahi nitoa kasoro,bwana akuzidishie moyo wa uvumilivu.Kijana mwema sana wewe,hujaona sura ya baba,ndo kwanza unaniita malkia,the cutest,one and only,i love u so much baby
Hahahahaha apige tu maana,naumwa leo nimeshindwa kutoka na baby,nimemruhusu kwa masharti ya kuwahi kurudi,sasa kama anafanya ndivyo sivyo mzigua akipigana kwa niaba yangu sio vibaya.Sasa Jolie kama na hazard mnataniana hamkulani utajua mwenyewe hiyo kazi uliyompa mzigua atapiga huko mpaka hazard mwenyewe naona humjui mzigua akilewa