Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,088
- 136,605
I'm sorry bby.
Hivi Mzigua una mabebi wangapi wewe? Teh teh ......
I'm sorry bby.
Naheshimu mawazo yako so nimekubali white kuwa na amani....Hapana mkuu me na wewe tuendelee hivi hivi tu

Mm nitaletewa bili yangu utujue.... so huyo mchumba wako atapambana na hali yako cha msingi uje uniage kama cousin yakoUkiniweka meza yangu nitapata mchumba

hehehe mie nafuatilia tu mkuu, wala sina maana nyingneHahaha hawa na ma bestie zangu tunafahamiana vizuri mkuu
Sidhani kama anakumbuka idadi aliyokuwa nayo jamaniHivi Mzigua una mabebi wangapi wewe? Teh teh ......
Asante sana kwa kunielewaNaheshimu mawazo yako so nimekubali white kuwa na amani....![]()
![]()
Huyu ni multifongoHivi Mzigua una mabebi wangapi wewe? Teh teh ......

Hahah... relax bosshehehe mie nafuatilia tu mkuu, wala sina maana nyingne
Sidhani kama anakumbuka idadi aliyokuwa nayo jamani
Hahahha Ngabu huyo mdogo wangu tulikuwa hapa nje mtaani tunakunywaHivi Shualina hapo ulikuwa wapi kwenye avatar? Mugongo mugongo baby...
Mkuu naomba upambane na black american babes huko hawa wa kibongo tuachie ndugu zakoHivi Shualina hapo ulikuwa wapi kwenye avatar? Mugongo mugongo baby...

Hahahha Ngabu huyo mdogo wangu tulikuwa hapana nje mtaani tunakunywa
Mdogo wako mzuri! Mwambie anasalimiwa na Julius....halafu kama vipi ntampitia na yeye twende kule






zimefika Ngabu
Itabidi twende wote hapo hope kuna chakula kizuri pia.....Pale Sinza Green Lounge hiyo hela napata heineken 12![]()
Yan ule ndio unauita ubonge?? una utani na mabonge eti


