Weekend

Weekend

Issa Weekend.
bdcde1129e7d99b1569dfe5107111cb2.jpg
Mh huyo ni wewe??? Nakumbuka Mara ya mwisho kukutana (pale makutanoni kwetu) ulikuwa black beauty la nguvu ...
 
Me mwenyewe naishi nanjilinji huku na kichumba changu kimoja ni kama store kila kitu ndani kwahiyo usiogope uwe na amani zote mwendokasi ndio usafiri wangu nasimamia bomba
tunazipanda wote hizo white..

Ila siku moja tutapata zetu na tuzunguka mji wote huuu.....

Cha msingi pesa ya kula na kunywa ipo hakuna tatizo kwa jiji la makonda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom