theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,715
Hahah sawa bhana ni wewe tu.... Mzigua90 naomba tukutane april ole wako uje umwage password humu ndaniHapana jamani nyingine sio fursa hata unaenda kuumbuka tu

Hahah sawa bhana ni wewe tu.... Mzigua90 naomba tukutane april ole wako uje umwage password humu ndaniHapana jamani nyingine sio fursa hata unaenda kuumbuka tu

Weeee hapo hapo mkuu mzigua mwache kama alivyoNini tena mkuu?
Nikionana nae nitampa password na imani hatofunguka kila kituHuyo ndugu yangu nakaa nae pamoja yaan atanipa salaam
Mr slim

Dhaaa acha kabsa mkuuNdio ndio mkuu...ila traffic wangehamua kutukazia wkend tungekula sana fain na hvi vyombo vya usafiri
DoneHuku sea view. Delete jamani hiyo comment halafu.
Nimekuona mama la mama naona
Umeweka bambucha
Unajicho kama la Mesut Ozil walai
Sawa Mr slimNikionana nae nitampa password na imani hatofunguka kila kitu![]()
![]()
Mr slim
![]()
![]()
![]()
Huu uzi nimeuona leo, pale mwanzo pale.. daah, yule kiumbe kwenye kiti pale... n kasheshe... sijui kwann sikuwepo jirani hapoNini tena mkuu?
White nakuomba utulie dear... nasubili ruksa kutoka kwa Mr...Kho kho kho
