DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,900
Shem wangu shunieNani huyo?
Shem wangu shunieNani huyo?
Jamani sasa nimekosea nini alitaka maaana ya budege. Muombe msamaha shemeji yako wakunyumba
Umenena baby to beHachagui habagui atakaemzika hamjui.![]()
Ewaaaaaaaaa we ndio shemeji yangu banaWewe je ?
shunie atatumika na mwingine
Mimi nakuhitaji wewe
Abeeh shemShem wangu shunie
Atakayekuweka wewe au shem wangu shunie lazima nilale na mberèeeèeeHahahahaa. Sema uwekwe afu uwe unajishaua mama wee. Sema wakunyumba wakikuweka poa tu hawataharibu kitu![]()
Nikisema mods hawanipendi huwa sikosei.Issa Weekend.![]()
Kumbe ndio yanaitwa hivyo shem. Mi najua magar ya kubeba taka tuShemeji budege ni yale magari ya kubeba taka yanakuja mtaani kila week yanabeba taka zote si unaona hayachagui
mbavu zangu kwahiyo nyege mbaya sana au unakuwa umelewa halafu pombe zikiisha unajuta hivi ni mimi
Asante shem hatimaye tumepata mlinzi shem darling nakupenda mimiAtakuyekuweka wewe au shem wangu shunie lazima nilale na mberèeeèee
Umesema ndevu nimekumbuka kitu ila namezea tu japo najua ushaelewaHeheheee wanakosoa hadi ndevu hahahahaa.
Wanabaki kuuliza ‘kinyozi wako ni nani’?
Ukiona hivyo ujue kimya kimya moyoni wanazikubali ila hadharani wanajilazimisha kutafuta kasoro.


Ringa na kidogo ulichonacho maisha ndio haya haya.Asanteee shem najivunia sura ya baba angu
Msukuma huyu bwana sio mchoyo kwanza. Ukimlilia shida hakunyimi si unajua kapewa na Mungu kumnyima mwingine dhambimsukuma huyu kiboko mbona wasukuma wenzie wanapenda vyeupe










