Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,401
- 31,659
Kumbe....! Ndo maana nikilewa,idadi ya wanaonitongoza huongezeka! Sasa ngoja niwatafutie dawaAah wapi ndiyo watakuja wengi... hakuna Raha kama kumtongoza mlevi hutumii nguvu nyingi....

Khaaaaaaaa ngoja mr unamuona huyu mtu huku Asprin
Unataka ufanye nini na huyo mzigua tena???