Weekend yangu imeanza hivyo, anyone around Mwanza?

But valid hili tangazo?
 
45+ ulienda mbali sana brenda. Omba tena mtoko kwa jiji letu utatupata asee

🤣🤣🤣nilienda mbali sana si unajua enzi zile kichwa kilikuwa cha moto mimi mwenyewe naona hapa leo nacheka sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nilienda mbali sana si unajua enzi zile kichwa kilikuwa cha moto mimi mwenyewe naona hapa leo nacheka sana
3yrs umeshabadilika sana? Nampa heko huyo kidume...
 
Ungekuwa me ninge kutafuta ila ke mwenzangu no...enjoy ur weekend
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…