dhameery yusuph
Senior Member
- Jul 18, 2013
- 163
- 30
nIAJE wANA CC
WEEKEND yA lEO iPOJE kWAKO?
ME kWANGU iPO pOUWA
KwA wANA dAR eS sALAM
2kuTANE fULL bATA.cOM
Wikiend imetulia
Tuliopo mbali inakuwaje sasa
acha ubaguzi kaka sio wote tuko dsm!
Weekend iko poa,jana nimeshuhudia timu zangu Yanga ya Tanzania ikimkandamiza mzee wa tv aka ice cream na kwa upande wa Ulaya,chama langu Man utd ikamkandamiza mtu 4,duh it was a good day!Uhuru Peak Kinondoni!
Tuliopo mbali inakuwaje sasa
Na kweli inabidi twendage huko makutano junctionHivi shemeji hujuangi Dar's members wanajuanga kua Jf is special for themselves!
Sijui wote tuhamie huko kwenye utajiri wa joto na jam za usafiri !
Heshma yako BABA mZazi wa Dhameery
Wewe pumzika na mama nyumbani
Weekend tuachie vijana
Mmmmh kwahiyo tutakula kwa macho au kwa maandishi?Chocs kwa mlio mbali tuta sHARE kwa hapa jF CC
thanks kwa kutambua hilo but jf is all over the country but me niko mbeya!!!
Mmmmh kwahiyo tutakula kwa macho au kwa maandishi?
Tupo pamoja
Ila mimi ni AZAM kWANGU ni MSIBA