Weekend Story: You Can't Handle The Truth

Weekend Story: You Can't Handle The Truth

😀😀😀😀 Mkuu mbona unamuua dada Lara1 kama hivyo?

namkata spidi huyo kiazi si unajua tena.......akionyeshwa ukarimu kwa malaiki hakawii kugongea kimaukweli kweliii.

Ofcoz mwenyewe nimeloa nasikilizia hisani tu hapa sasa tukiwa wengi makelele sholi ataona tunazingua tu au tunampanga dizaini za walter, si unaona dem mwenyewe mjanja anastukia manyuzi. game anajua so humpigi saundi kilaini lazima ukaze
 
Nilitaraji kujua baba mzazi wa Walter na connection yake na victims wengine kwenye huu mkasa!
Nilitamani kujua sababu ya baba mlezi wa Walter (Chapombe) ilikuwaje akawa ndani ya Gwanda za kijeshi wakati hakuna mahali mbeleni penye ufafanuzi!
Nilitamani kujua destiny ya Walter na kazi yake na maisha yalivyoendelea akiwa na chaukorofi wake Inspector Janeth
Nilitamani kujua hatma ya Muddy na Grace...
Nilitamani kujua destiny ya Fahad
Nilitamani kujua life after fujo za ujanani kwa Carina na training alompa mama yake ilihali Mzee Mujungu ndo basi tena
Kwanini Carina alielewana haraka na Fahad kwenye ile birthday,kwanini alimwonea huruma sana Iqra wakati Collins alipotaka kumtoa sill? Palikuwa na chemistry gani kubwa namna hivyo in between!
Wana literature wanasema "suspense" ....the outcome is uncertain tumekuwa desparate tunataka more informations big up Lara 1....#teamWalter
 
Ile episode ya Walter jamani nimelia, nimeliaaaaa haswa!
Wewe Lara mtu mbaya sana.
Asante kwa hadithi nzuri, niseme nini?
Maneno yameniishia.
Ila nashukuru hujabadili gia angani, imeisha namna nilivyotaka iwe. Kwangu imeisha vizuri sanaaaa!
 
namkata spidi huyo kiazi si unajua tena.......akionyeshwa ukarimu kwa malaiki hakawii kugongea kimaukweli kweliii.

Ofcoz mwenyewe nimeloa nasikilizia hisani tu hapa sasa tukiwa wengi makelele sholi ataona tunazingua tu au tunampanga dizaini za walter, si unaona dem mwenyewe mjanja anastukia manyuzi. game anajua so humpigi saundi kilaini lazima ukaze
wewe jamaa utakuwa chalii wa Ara, sio kwa mkwara huo!
 
Sijui kwanini pamoja na mtiririko wote huu na vituko vyote na utukutu wa Walter bado niko upande wake, na nadhani Walter ali deserve kumwoa Iqra pamoja na madhaifu yake....ila baas mwenye story yake ameshaamua!
Nami nampenda sana Walter. Jamaa anayo courage ya kutosha.
 
Jmn mweee i miss carry wew lara ila jmn pa1 na utajr wa mr mjungu wanae wate wamesogeza na kusogezwa no ndoaaa
 
Dah! Kweli hata Mimi I can't handle the truth, action linaanza ghafla movie inaanza kupitisha majina ya wahusika ikifuatiwa na THE END.

Natamani iwe Bong Movie, tujipe matumaini ya Part 2.

Team Walter tumezidiwa dau, lara 1 kishafanya yake...

Shukrani sana kwa burudani Mujarab!
Kama nakuona vile ulivyokasirika hahahaaa collin hatareee
 
Back
Top Bottom