Weekend Story! The Workaholics Silence

Jamani Leo nimeingia blog ya Lara 1 na kusoma Hadith moja matata sana, Pia nimejifunza kubana poo ili njaa isiume
 
Kumbe blog tayar ngoja nikacheki. ... I l you ky6qqlqlqli you have
Jamani Leo nimeingia blog ya Lara 1 na kusoma Hadith moja matata sana, Pia nimejifunza kubana poo ili njaa isiume
 
Lara if you ever write a story like this again, I'll bewitch you! Sijawahi kulala saa 9 usiku kisa tu hadithi! Usirudie nakwambia.
 
Lara1 hongera sanaa na ubarikiwee na kipaji chako
 
Hata wewe huwa unakuja huku? Najua heaven sent huwa halali ila sikujua wewe team popo
si umeona nimemtishia kumloga? sijawahi kesha tena kisa hadithi. Mbaya ni kwamba sikuwa nimeingia muda kwa hiyo nikakuta series zote. Kila nikisema niishie hapa niendelee kesho utamu unazidi kukolea. Hafai huyu mtoto.
 
Baki njia kuu. Na atakukamata tu, hamna namna.
 
sina imani na lala, nadhani amebadili gia angani kama yule mwenyekiti wa chama cha kinondoni
Hapa naweza sapoti. Na duniani @lara1 ukumbuke kuna psychos unaeza kutana na mtu akakupiga kofi akakwambia thats for harry!

Hongera kwa hadithi zako, saw ur blog. Inahitaji few arrangements iwe more suitable for use. Nice story!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…