Weekend Story! The Workaholics Silence

dah hii stori balaaa.....Mtunzi #KubwaLaMaadui# ubrkiwe
 
G


Gill ni mjanja MAFIAAAA, sasa unaanzaje kumbambikia mtoto kwa mfano? Yani unmbambikie mtoto afu asistuke inawezekana vipi? Hahahaa! Sio rahisi kihivo kwa Caliber ya mtu kama Gilly.
Ila na umafia wake kwa marrie anakaa.
 
woow..Tamujeeeeeee...
 
Isijekuwa mtoto aliyemflush ndiye wake...na doubt pia mkewe anaweza kuwa full time kwa mtu fulani somewhere na part time kwa Gll who knows...nasubiri episode nyingine!
 
Harris kukutana na wale mafirauni wawili kulimkumbusha mbali sanaaa. Kwanza yule firauni wa kike, kugongana nae parking akahisi ni mkosi mkubwa sanaa, huenda hata show yake ya usiku huo isingejaza, maana nuksi za kukutana na kiumbe yule i za kuogo baharini kina kirefu. Alimemorise maneno atakayo mwambia siku wakikutana zaidi ya mara laki moja, ila finally baada ya kukutana aka realise kwamba he was no longer bitter nor envious, amesamehe yot and he was finally free from the hatred. Kama alikutana na yule mwanamke na hajamrarua rarua vipande basi yuko half way on his healing.

Akaendelea kuwaza kama kakutana na firauni la kiume jana na hajalichoma bisu la tumbo, wame shake hands na ku hav conversation, baaaaaaassss. Akajua tu he is finally free from their chains of hatred. Akakumbuka jinsi alivokuwa anampenda yule mwanamke and he felt so stupid kwa kweli sio kwa kumpenda mtu kule na yeye kumtelekeza namna ile. Alitegemea hata walivokutana angesema japo SORRY au hata angekimbia au hata kutomuangalia machoni, ila bila hayaa kamkazia macho, na bila haya ana hint eti mtoto wetu angekuwa mzuri hivi loooh! Nyama kweli yule mwanamke ashasahau kama alikula million 50 ku flush kiumbe chao. He will never forgive her for that.

Akawa anawaza aachane nao, nohing good comes his way kila anapojihusisha na yale mafirauni mawili. Bora afocus zake kwenye show business yake. Kwanza ashajenga jina, ana wateja kibao dar, na mkoani wanao hitaji shows au wasaniii na anajulikana na kutambulika kwenye show business. Akawaza tu sijui kwanini alipoteza mda wake kwnye kile kikampuni mbuziii. Sahivi hela anayoo ya kutoshaa, hata Stacy angetaka anayo jeuri ya kumuoa na kumtuliza kabisaaa. Basi tu hataki, juani achume mwenyewe ahangaikeee afu kivulini aieb ile mishankupeee. After all he had a family, a woman and a kid wa kuwalea kaika maisha yake.

Akakumbuka ni mda wa kumfata baby girl shuleee,akaongozana na mama Stacy, siku hio akaamua tu aumie gari yake kali sanaa ambayo hatumii mara nyingi kama ile RunX yake. Njiani kukawa na folleni wakachlewa kidogo, kufika ule anamuona Stacy kwa mbali kambeba mtoto na mwingine anatembea. Akajisema kumbe ana watot wa 2 hapa shuleni, mbona haku disclose hyo aliembeba atakuwa ndo amezaa na Gillbert oooooh! Good for her. Mama wa mtotoakasema anabakia kwenye gari haendi.

Akasogea mpaka karibia na Stacy, akasikia anaonge na mwalimu wa kike pale, "katoto kazuriiiiii haka. Napendaa vitoto vya kike. Na mimi nitazaa kitoto kizuri hivi kweli? Hii mbegu ya babake kibokooooo. Mbegu hii nimeikubli. Embu kaone teacher, shteshiiiiiiii! Katoto kanachekaaa. Stacy ana mbusu busu. kasikia mtu anasafisha koo. Mmmmmhhh mmmmh! Kugeuka Harris huyu hapa, afu kambeba mtoto wake. Hiiii! Hakutegemea kubambwa kabisaa, akanza kujichekesha. Mwalimu akakunja suraaa maana msala ule.

Harris akamuuliza hivi wewe mwanamke mbona hujiheshimuuu, unaanzaje kukurupuka kubeba watoto wa watu bila ridhaa ya sisi wazazi wao. Hivi unjua mama mtu nimekuja nae kakuona umembeba mwanae, kanfikiria mamb mbaya sanaaa. Kwamba imekuwaje umepata ujasiri wa kumbeba mtoto wake, kabeba mimba miezi 9, mtoto anaumaaa, ghfla anakuta umembeba na kilichomsikitisha ni mwalimu kukuruhusu umbebe kwa mpango gani labda?

Mwalimu akajitetea mi nilijua mnajuanaaa, manake kaja hapa kumuita Stacy na kitoto kinamchekea sasa nikajua labda mnafahamiana, heheeee, heheee. Anajibalaguza. Harris akajibu hatufahamiani na siku zingine usimpe tena huyu mtoto ole wako mwalimu nikute kamshika hata mkono namuhamisha shule. Akamchukua mwanae akaanza kuondoka. Stacy anaita Prince twende, twende mwanangu wanamkimbilia Harris. Stacy anamuuliza "Jamani Harris kwani tuna ugomvi mimi na wewe? Si nimempenda mwanao nimemshika tu" Harris akagunaaa, "Umempenda mwananguuuuu! Ungempenda using mflush chooni. huyu mtoto wa mwenzio nae na uchungu kupita wa kwako"

Stacy lile dongo umemflush chooni hakulielewa ipasavyo akajua Harry anahisi ile mimba alitoa, sasa na yeye hakuona umuhimu wa kujitetea mda ule, kama kaamua kumfikiria hivo poa tuuuuu. After all ni mda sanaa kuanza kuji justfy. Akaamua tu aendelee kumzinguaa Harry. "Umesema mama yake yupo kwenye gari? loooh! Naweza kumsalimiaaa, nimuonee tu." Harris akamuuliza "halafu ukishamuona itakusaidia nini?" Stacy akaanza kujibalaguzaa "Roho yangu itaridhikaaa, nataka nione mashine iliotoa chombo kama kile. Harris mi na wewe hatuna ubaya maisha tu yalitufanyia fitna." Harry akaguna "Mmmmmhhh! Maisha eeeh! Sawa sawa. And no you cant say Hi, the mom super shy after all ni mdogo sio rika lako so probably you will have nothing in common kuongea." Stacy akazidi kupata uchu wa kumuonaaa, kusikia mdogo tenaaa ndo kama katiwa ndimuuu. Wakafika parking kila mtu akaenda upande wake. Stacy roho ya kutaka kumuona mke wa Harry ikawa inamtokaa, akaamua kucheza foul, akatoka wa kwanza akaenda kublock njia, ili apite Harry lazima amsemeshe. Kucheki nyuma haiji Run X unakuja mbonge wa gariiii. Mmmmh akajisema nani huyu boya ananiharibia mishe, mi nisha kiblock ki Run X, itabidi nimpishe tu sasa sijui nitawahi kuki block ki Run X.

Akasogea kumpisha, wakiwa level moja ule mgari ukamshushia kiooo, akamuona Harry upande wa dereva, na upande wa abiria akamuona huyo mkewe mdogo kweli sio masihara hana hata 20. Stacy akawa kadata kwa mengi, kwanza ule mgariii, pili umri wa huyo mke, akaona mashikolo mageni. Akasikia Shikamooo! Mke wa Harry anamsalimia yeye. Mmmmmh! Akajibu tu Marahaba hujambo mdogo wangu mzuri? Akasikia sijambo! Akajipedekeza "Hongera umetuletea mrembo mzuriiii mzuriii, nataka nitoe posa, na book mapemaaa."Kwa unafiki Stacy hana mpinzani. Harry akampiga kijembe Stacy "Million 50 yote uliopokea za kutoa mimba ndo kwanza ume downgrade kutok Prado mpaka Rav 4. Hahaahaaa! Mungu anapiga fimbo hapa hapa duniani. Stacy kwenye Rav 4 old model, hahahaaaaaaaa!Nacheka lakini sio mazuri" Stacy nae akacheka tu, akamjibu "We nichekee ku upgrade kutoka Run X mpaka Hyundai sio mchezoo, Mi Rav 4 inatosha Mchagga at my best si ndo gari zetu hivi embu niache na gari yangu inaniweka mjini" Harris akacheka huku. Akamwambia "Aaaah mi nilivosikia umepokea million 50 kukimaliza kile kiumbeee i expected siku kama ya leo ungetembelea Helicopter hivi. Ila yote maisha." Stacy akadakia Ulivosikia nimepokea 50m ni abbort? Umesikia kwa nani? Binadamu wabaya nyieeee, mimba yangu imetoka bahati mbaya wananizushia. Watuuuu! Mungu awanyeshee madini ya kiberiti."

Harry akagunaaa! "Watu wakati mumeo Gill ndo aliniambia. Kwanza zile hela alinipa mimi 50 m nipoteee, nisahau mtoto nikakataa, akaja kukupa wewe ukazidakaaa juu juu, ukamtext na kumshukuru. Alinionesha text zako. Stacy akastukaaa! Akashanga sanaa, Gill?" Harry akamwambia "Bye bwana, naona ushaanza ku act navokujua utataja mizimu yote ya kwenu kuwa Gill muongo, na kuji victmise. Anyway it was longtime ago. Nice seeing you again." Aka kanyaga mafuta motoooo.

Njia nzima sasa Stacy akaanza kupata akili ya makarateka aliomchezea Gilli. Akaegemea angekuwa na hasiraaa, jazba, ghadhabuuu, ila walaaa, akazidikumdharau tu, na kuamini kikulacho ki nguoni mwako na shetani yupo karibu yako kuliko unavodhania. Gill wa kumtoa mimba yeye? Akatikisa kichwa tu. She was glad ameachana nae for good. Afu alivo bandidu kamset Harry kiasi kwama yeye Stacy hana pakutokea. Aiseeeee. That is Gillbert he knows, sema ndo ile unamfuga simba weeeeee ukiamini hawezi kukungata wewe mfugaji. Siku akikumezaa ndo unapata akili sasa. Akawaza potelea potee

Akarudi ofisini mchana akakuta zawadi set ya mkufu na bracelet, white gold imenakishiwa na Tanzanite, akajua Gill, akaitia kwenye dustbin, akaendlea na kazi. Baadae akasikia simu ya ofisi inaita, akapokea Gill, akamwambia "How do you find the gift, i know your taste babe, wear it too dinner tonight, i am taking you out." Stacy akikumbuka mimba yake akashusha tu pumzi akaona huyu kwa chuki na uchungu haendi, dawa yake ni to beat him in his own game.

Akamjibu baada ya ukimya mrefu "i could have worn it to dinner but i threw it in the dustbin oooopppppsss!" Gill akaanza kugomba "Acha utoto do you know how much that set coasts? Hata mke wangu hana hio set. Do you know how much it coasts?" Stacy akamjibu " Trust me i know, it coasted me my baby, i spoke to Harris, he told me about the money, abortion and lies. I know everything, naomba utume mtu aje akuokotee uchafu wako huku kwenye dustbin langu, kesho utamwagwa." Aka kata simu. Akaendela na kazi. Mda si mda akaja mfagizi "MD anataka Dustbin lako, akamwambia hilo hapo."

Harris akawa anawaza na kuwazua nini kimemkuta Stacy mbona kachkaa vile, kachokaa, anajitutumua ila sio kama zamani, sijui umri au maisha tu. Labda kweli kaachika. Akaamua ande kupata kuku sekela bar one time. Akiwa anakula zake sekela akasikia watu wana jadili vijana, Promoter Harry ashafika climax ya career yake i bet you hawezi kufanya show ya kihistoria tenaaa. Show ambazo ameshazifanya ndo hizo hizo. Kwanza umri umeenda anaikaribia 40.

Harry vikamchoma sanaa rohoni akajiapiza kuwafundisha adabu atatengeneza hela ya kustaafia show businesss. Ataandaa show8 ndani ya mikoa 8, siku moja, tarehe moja, mda mmoja, wasanini tu ndo tofauti, kila mkoa anapanga wasanii wake. Na show zote viwanja vya mpira, na zote zitashonaaaa, na ataacha historia ya show business Tanzania. Ata make big money ya ku exit show business, atafute venture zingine za kufanya. Akaanza kujipanga kwa utekelezaji.

Stacy akawa anawaza Harry ana issue gani mpaka apate lile gari? Au kaazima maana mjini hapa huwezi jua.Akawa anawaza ila katoto chake kazuri jamanii. Sijui kumpenda hivo mtoto kumetokana na nini. Akapata wazo azae nae nini? Genes zile kiboko. Harry mwenyewe anamchukia siku hizi atamchotaje mpaka azae nae.

ITAENDELEA.
 
Hahahahahahahahaha nimecheka sana hapa eti kuliko uwe mwanamke wa nje bora uwe mke wa Konda au mpiga debe kha!! Ngoja niendelee kusoma ado ado Mie wkendi yenyewe nipo tu nimeteguka kisigino
Wewe mrembo kila siku nakuita faragha lakini huji,basi jaribu kufikiria upya,mimi nataka uje nikunyonye tu au vipi?,na wala sikufanyi matusi mpaka utakapoona uko tayari au vipi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…