Weekend Story! Glory Be To God!

MOTP kumbe ni wewe dooh...ila naisubiri TWH nione vichwa vingapi umekula na kama ulipiga hata international match

Hapana weeeeeee! Tema mate chini. Mie nimeambiwa ntakuwepo kwenye Le TWH..huyo MOTP hata simjui kwanza...aendelee tu hadi apate tezi dume.

Mie mfuasi mzuri na Muumini wa Bwana ujue, kunifananisha na MOTP sio vizuri kabisaaaaa.
 
Hapana weeeeeee! Tema mate chini. Mie nimeambiwa ntakuwepo kwenye Le TWH..huyo MOTP hata simjui kwanza...aendelee tu hadi apate tezi dume.

Mie mfuasi mzuri na Muumini wa Bwana ujue, kunifananisha na MOTP sio vizuri kabisaaaaa.
Hahaa kati ya watu wote kakakuhisi wewe sijui kwa nini...acha nisubiri TWH mie nione uhusika wako
 
If Walls Could Speak.

Kitendo cha mume wangu kuwa hana helaaa, kiliniathiri sanaa kisaikolojiaa haswaa ukizingatia nashinda na watu kama Lidya, na watu wapya waliokuja kuja kujiunga kwenye group, ambao wako spoiled na waume zao. Wanapewa ma gift, ma treat, ma vaccations. Hawatoi hata 100 yao kulea familia. Nikaanza kujiona design sina bahati.

Zamani the fact mimi nimeolewa Sally bado ilinipa nguvu kishenziiii, maana atleast i had something which they didnt. Sasa while i was enjoying that little success, kina Sally wamefight, wamekazaaa, wamekomaaaa kupambana wapate mitaji, sahivi washatoka kimaishaaaa wenzangu. Ndo baasi tenaaaa.

Na kinachouma zaidiii na wanaume wamekuja kupata vile vileeee, tena wa maana. Hata asipokuwa wa maana, pesa anayo mfukoni, haungiii ungiii, wala uchungu wa mume hanaa, si hatagemei senti 5 toka kwa mwanaume. Hata kama harusi bado ila basically kama wameolewa tuuu. Maana anaishi na mwanaume hata kama kwake, that is even better hawazi siku akitimuliwa na huyo mwanaume. Wanaume wana wa claim publicly, wanajulikana ukweni, like kama wameolewa tuuu. Nikawa najuuutaaa kuwahi. Haraka haraka haina baraka.

Nikaanza kupata presumptions that i married wrongly. Marrying wrong has no cure. Hata nikimuacha baba wa 3, still i wont get my old life back, nitakuwa single mom of 3 which is not any better. Nikawa na stress, nakondaaa, nanyaukaaa. Mume wangu anajitahidi kuniuliza tatizo nini? Moyoni ananikeraaa nawaza we huoni kwamba kila kitu katika maisha yangu ni tatizo, wewe pia ni tatizo moja wapo.

Internal hatred ikajaaa ikaanza kutoka nje, i became rude, and unkind kwa mume wangu. Asifanye kitu kidogo, nitafokaaa fokaaa. Kila anachofanya kibayaaa. Yaani anani bore. Basi sijui it was just me, nikaanza kuona anafanana na baba angu day by day. Na walifanana kama identical twin.

Akawa anasema Sally anapenda makubwa kanunua Prado kumjibu tu Dee. Msomali kamuacha so she is buying staff to divert attention kwamba kaachwa, ila aonekane so successful. Mxiuuuuuuu! Hata sikumuelewa anaongea nini, what was his point exactly. Akasema yeye wanawake kama Sally hawapendi kabisaaa. Moyoni nikasema hata ungewapenda can his broke a.ss afford them. Mxiuuuuu, embu anipisheee. Yeye saizi yake mimi anifuje fujeee basi.

Hii disapproval ikahamia in our sex life. Kiruuuuuuuu! Nikawa nampa mchezo basi tuuu, ile basi tuuuu, nifanyaje wakati sheria ya ndoa chupi mchagoni. Nishakubali kuolewa sina budi kulala bila chupiii. Ila sipooo sipooo kabisaaa. Na fake orgasamas mradi amalize mi niendelee na kuwaza mambo yangu mengineyoooo. Na kama alijua akawa haombiii sanaaa. Naona aliona ile design ya mbwa kachokaaa siooo. Tunaweza kukaa hata miezi mi 2 bila bila na wala sishtukiii.

Siku tumeenda kwa Sally kwa kuwastukizaaa ndo nika realize i was wasting my life away. Kwanza mi bado mdogooo kuanza kuwehuka hivi. Nikarealise mnaweza kupita njia tofauti ila mkafika sehemu moj. Sally was living my idea of marriage. Kwanza cashflow sio issue, plus yuko na mwanaume anaempendaa. Na anaonekanaa mambo anayaweza vile vileee. Jinsi tulivomkuta msomali na buktaaa lileee, na lile body la mazoeziiii, mpingo umetunaa kwenye buktaaa, hatukubaki salamaaa na shoga angu Jolline. Msomali hajawahi kumuacha mtu salama,

Sasa mimi mume wangu ana kitambiii, bora awe bonge ana kitambiii cha bia na nyama, ndugu yangu ana kitambi cha maharage na ndizi mbivu. Kitambi cha dhiki. Aiiii. Shida imemalizaaa anakauka mwili linabakia tumbo, na kunyonyoka nywele uwaraza umemkumba. Msomali ana body la mazoeziiii, mpaka akikupiga mitiiii unajisikiaaa huuuuuuu! Noma sanaaaaaa! Ama kweli pesa sabuni ya roho. You can live any way you want.

Ndo maana Sally hakuwa na stress, alijua akipata pesa atabadilisha wanaume anavotakaaa. Na likuwa ananiambia uchawi pesaaa, hirizi mzigooo. Sikuwa namuelewaaa. Sasa mwanaume kama Msomaliii, ana sexy eyes, ngozi flani amazing, kifuaaa cha maana, tumbo flat, katulizwaaa pale, anamkuna kuna Sally upele wooote alio nao popoteee. Ana shida ganiiii. Akisema azae hao watoto sasa si watakuwa balaaaa sanaaa.

Shoga angu Jolline akashindwa kuvumilia akaenda kutafuta nae Marioo wake amfuge. Sasa Marioo hawafanani. Hio story atakuja kuwapa mwenyeweeeee. Ila mimi nikamkumbuka Ibra kaka yake Sally bwana wangu wa usichana wangu. Ibra alikuwa mkoraaa sanaaa. Yani fujo mtu, mtataa nikawa namuogopa. Sally ananiambia Ibra anakutakaa nakutakaaaa, mimi nasitaaa. Siku ndo ikatokea katuacha wawili. Na lengo nimuokoe Dee.

Kuanza kupeana mambo sababu ilikuwa mara ya kwanza sikujua kama fundi au sio. Watu wanasema mara ya kwanza inaumaa, husikii raha, ila mi nilisikia raha. Na baadae nikawa mteja wa huu mchezooo, mwanaume alikuwa fundiii sio kitoto. Mpaka nataka kupoteza fahamuuuu. Nikaonja onja na sehemu zingine katika kukua ila pale nilikubaliii mwenyeweee. Alikuwa mtu wa mazoeziii na yye, ananyanyua vyuma na nini afu damu bado inachemkaaa. Sijawahi kujutiaaa.

Sasa akaja kwenda ulayaaa kutafuta maishaa, naona alipitia anga za mzee wake. Tukakubaliana nimngojeeee. Baadae tukapotezanaaa, watu wananiambia utazeeka kujitunza, mwenzio ashaoa hukooo, mi nikakutana na baba wa 3, akanijaza mimba, harusi ikafungwaa, nikazaa mwanangu wa kwanza akarudiii. Airport mtu wa kwanza kuniulizia mimi Winny wangu yuko wapi? Watu kimyaa. Baadae ndo kumuelewesha bwana ushachelewaaa, watu washavuta ndani na washazalishaaa. Aliumiaaaa.

Akaja kwangu kunisalimia, ila akasema moyo wake haujaridhiaaa sema ndo basi tenaaa. Akawa kashatoka kimaishaa, maana alirudi na pesa za kutosha akaanzisha biashara, yuko njemaaa sanaaa. Sio kama Sally ila anajitahidi. Akaoa mke mdada nae amekaa sanaa nje ya nchi. Hatukuwa na mawasiliano wala nini. Ila si kaka yake Sally so najua basically kila kinachoendelea maishani mwake cause wifi yake na Sally haziivi. Kila siku ananiambia bora ungeolewa na kaka yangu.

Nae kagoma kuzeeka, kwanza mtu wa mazoezi anacheza mpiraaa, nahisi hata chuma bado anabebaaaa. Kila nikimuona kwenye picha anazidi kuwa kijanaa. Anaishi maisha flani amazing na wanae, ya kinyamweziiii, najisemeaga ile ilikuwa bahati yangu ile ndo basi mwenye bahati habahatiki.

Matatizo nikaamua nizungumze na mtu mzimaaa Lidyaaa maana nae ana watoto wa 2, its like we are the same. Jipya hanaaa ila alichosisitiza usijibaneeee sanaaa, kama vipi uza mechi. Mechi itasaidia kurelax, na kuwa focused. Unajua hizo stress unaweza jikuta sucidal, cheatting is healthy cause your number 1 goal itakuwa not to get caught especially redheaded.

Ananiambia yeye binafsi mambo mengi anayafanya kama rituals tu, na mazoeaaa hawezi kuacha ila ile spirit haipoo kabisaa kama aniversary kaiwekea google calendar, he has to order cake and flowers for Hubby. Birthday amnunulie saa ingizo jipya maana ana addiction na saa. Sasa wakiona anfanya vile wana panic wanajua wanazeeka vizuri kumbe mazoeaaa tu.

Basi wakati narudi nyumbani ilikuwa kama saa 2, nikajikuta tu nimemwandikia Ibra sms after nearly 7 years za kutowasiliana. Nilimuandika Hello! Baadae nikajutaaa sanaaa. This is not me, why am i doing this. My husband is the most loyal caring husband ever. Kwanini nafanya haya, hajapenda kukosa pesaaa, imetokeaaa tu. Nikafuta ile sms nikawa naomba asiijibu aipotezeee.

Akajibu "Finally the woman of my life umenikumbuka" Well najua natiaa kinyaa but i must admit i was flattered na hio complement the woman of his life, na kwamba namba yangu bado hajaifutaaa. Zikaanza chatting kwanza zile noble and honest. Kuulizia familia na nini. Wiki nzima tuna chat. Simu nimelipiga Password kila konaaa.

Huku na huku, wanangu wanarudishwa ada any day. Nikakumbuka Lidya alichosema dont compromise elimu ya wanao, yani wanao wakose elimu bora kisa upate tuzo ya ubanaji uchi, kwani shingi ngapi bwana? Afu uchi wenyewe hauishiii. Ukioshwa kama mpyaaa. Nikawazaa nikamwambia nimekwama. Nikajielezeaa, baba watatu yuko bench, maisha yamebana, sina wa kuniinua. Sikusema hata ada bei gani wala nini. Akanipa nipa moyo pale.

Kesho nimetulia ikingia million 2 Mpesa. Akaniambia ya ada hio, itasaidia kukusogezaa. Mmmmh mbona nikahisi uchi umelowaaa, chupi kama imekumbwa na Elninooo. Sio kwa hela yotee hio. Nikapitisha azimio namna hii nampa papa vizuriiii, kwana na ji enjoy katika hio kazi, ni kazi nitayoifanya kwa starehe.

Nikamsimulia Lidya, akasema sasa nyumbani ongeza upendooo shoga anguuu ili yule boya asistukeee, mle kwa nafasiii. Ongeza upendooo, papa mbembelezee kila mda kila dakika ajiamini lake peke yake. Kumsifia sifia uongo usiachee. Kujifanya mama mpenda ndoa ndo mara 87.902. Hubby zirudi ndani ya nyumbaaa.

Nimefunga duka saa 10 siku hio, Mr akashangaa maana shazoea saa 5 usiku ndo narudi. Nampet pet nikupikie nini baby. Baadae massage, nambembelezaaa nina hamu na mambo. Akigusaa tu nalowaa kumbe nalowa na menginee ya 2 M. Usiku nikampa papa lilioenda shuleee. Nashika MIC wakati nina karne hio kazi sijaifanyaa, na weeeeee ole wake mtu angenigusaa.

Ananiambia mke wangu nilihisi umebadilika, nikahisi hunipendiii tenaaa. Kumbe nilikoseaa nilikuwa nakuwaza vibayaaa. Najifanya business zilini vurugaaa. Leo kaja mteja baby kanunua vitu vya million 2. Ukijua kuchuna ujue na kutakatisha pesa uliochunaa. Akafurahiii! Kwa hio kwenye ada tumesogeaaa. Nasema ndiooo Biashara imechanganya kidogo siku 2 hizi.

Ibra baada ya kunipa ile hela hakuomba uchi wala nini, ila tuna chat kila siku kiselaaa tu. Mambo ya kawaidaaa. Nikajiongezaa shida mimi haziniishi na huyu hawezi kuwa ananisaidia bureee, atanichokaaa. Itakuwa kanipa manake anajua mimi mtu mzima nijiongeze mwenyewe. Najiongezaje sasa jamaniii. Nikamualika dukani.

Siku hio sina hili wala lile, akaja kweli, tena likuja na mwane, akamnunulia vitu vingi sanaa, hata ambavo haitaji. Sasa mwenzenu si niliyumba kuna vitu akawa anaviulizia dukani, mi sinaa, sinaa, sinaaa. kauliza kwa nini? Nikasema mtajiii, mambo ya mtaji kidogo yalikuwa hayajakaa vizuriii. Nikamuonesha na picha duka langu la zamani. Tuliongea sanaaa. Hajaniuliza mambo ya mume, wala mi sijamuuliza mambo ya mkewe.

Ikapita kama wiki 2, akaja Sally akaniambia nimpe list ya vitu vya dukani vinavotakiwa aniagizie. Namuagizaga mzigo kidogoo, nikamwambia pesa sinaaa sahivi. Na nilikuwa na kitambooo sijasafiriii. Akasema mi nakusaidia tu, sisi mashoga kusadianaaa. Nikafurahiii, nikamuona Sally mtu katika watu duniani. Nikamwambia mpaka mume wangu Sally sio rafiki yangu ni ndugu yangu yule wa damu. Mume wangu akafurahiiii. Mpaka akimkuta Sally mahali anampisha kiti. Ndo anatuweka mjini mwenzenuu.

Akaleta vitu kweliii, kama vya million 7 huko, vingiii, vizuriii. Nikawa namshukuru, akatamka kauli moja ambayo sikuipatilizaaa, usijaliii, wewe wifi yangu wa zamani, wifi yangu wa maishaaa. Furaha ya kaka yangu, ndo furaha yangu. She always loved his brothers to bits. So siku pay attention.

Nikampigia mume wangu aje aone wema wa Sally. Mume wangu akaongea kauli moja design kama ikanizinduaaa. Akasema "Sally toka msomali aende marekani na kumtelekeza kawa na utu kama zamani, wakati msomali yupo alikuwa kama haoni unavo adhirika" Sasa mimi kauli ile sikuipendaa. Mume akangangania "Kwani wakati mpaka tunahamisha watoto shule si Sally alikuwa na helaaa? Mbona hakukukopesha wala kukusaidia chochote, KIMEBADILIKA NINI? Zaidi Msomaliii kasepa, sahivi ndo kakukumbuka shoga ake"

Hapo ndo nikazindukaaa KIMEBADILIKA KAKA AKE SALLY. Na vile vitu lazima Ibra kamlipa. Na kauli yake wifi yangu wa maishaa ilikuwa kijembeee, itakuwa Ibra hakutaka nijue kama yeye ndo kanipiga tafu. Maana kweli Sally bandiduuu, pesa yupo radhi afugie mabwana sio kuniokoa na wanangu. Nikatabasamu tu. Ndo nikazidi kujisikia deni kwa Ibra. Kweli alikuwa anaipenda na bado ananipenda vile vile.

Sasa hii hali ya yeye kunisaidia bure buree ikaanza kunipa hofuuu, atanichokaa. Nisipojiongezaa nitafeliii. Yeye anajiongezaa sanaa afu mi namuangushaaa. Ngoja na mimi niingie dimbaniii. Nikamshukuru kwanza kwa boost ya mtaji. Akabisha si yeye, nikamwambia Sally kaniambia kumtega, akajaa nyavuniii. Sally toto mbeyaa kama nini. Nikamwambia nilikuetgaaa. Akajilaumu tu.

Nikaanza kumkumbushia enzi zetu, nikachombezaa katika mambo nilio miss mechi nazo ni moja wapo. Kama nilimkuna upele nae akadakia hapo hapo. Tukakumbushia mechi za sehemu mbali mbali. Nikachombeza kama vipi ifanyike remach. Akajaaa wavuniii, kusisitiza iwe karibuni. Sasa mwenzenu sio mjumvi wa cheatings, na kubamwa sitakiii. Nikamwambia sijawahi cheat, labda unifundishe wewe hii michezooo. Akasema shaka ondoa. Tutakutana asubuhi kariakoo. Akaniambia usije na gari. We njoo hoteli flani, chumba flani. Utanikutaaa.

Nikamuaga mue naenda kuangalia price za kariakoo kesho, nitachelewa kufunguaaa. Akasema ananisindikizaa. Nikamuwakia badala ukafungue duka tukabe kabe soko, unataka kufatana kama kuku, nikatema povu si la nchi hii, na kulala. Asubuhi nikaamka sicheki, na kumwambia funguo hizo ukafungue dukaaa. Mi naenda kariakoo. Mkavu hatarii.

Nimefika kule, nikamkutaa, kanidakaaa juuu, na mabusu teleee. Na mimi nimooo komandooo winny kipensiii. Kaniweka juu ya meza shusha chupi chiniii. Hii style tushawahi kuifanyaga kitambo hiko ikawa kama remix tu. Kashusha suruali hapo hapo juu ya meza kanipiga show moja ya kibabe. Inaitwa Old school hio. Japo Uhenga umeingiaaa, show kuisha mifupa yote inaumaaa. Tukaongea kidogooo, akaniambia wahi kurudiii atastukaa. Nikaogaa, na nilikuja sabuni ya nyumbani, na perfume, nikajipaka. Nikazunguka kariakoo kweli kidogo na kurudi na list ndefu ya bei za kariakoo. Mkavuuu.

Tunachat tu, nime enjoy sanaa. Nakuona lini tenaaa. Moyoni najiambia mambo yapo mwake mwake . Namchora tu mzee baba anavo piga mihayooo, hana habari kama mali zake zimeliwaaa. Na alichoniroga Ibra tangu kitambo sio mchoyooo. Hapo leo short time kanigea nauli 300,000. Mwepesiiii. Ananiambia sijaridhika short time, nataka twende wote China ukachukugue mzigo tunakaa siku 21 huko, you will be only mine. Nabana bana miguu tu kwa nyegeee. Mzee baba anaongelea story zake anai sijui kamwambia wapi kuna kazi watamfanyia mchongo, same old, shit. Mi naitikia tu mmmmhhh, ndioooo, sawaaaa, sanaa sanaaa, kwa hakikaaa, mmmmh, ndiooo, haswaaa. Moyoni namngongaaaa. Anipishe bwana.

ITAENDELEA KESHO
 
Back
Top Bottom