Anita Baby
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 1,265
- 539
Ayaaaa twasubiri
Yaani nilikuwa nimeanza kutoa macho na kujiandaa na ka maji yamotoNipo jikoni msikate tamaaa
Yaani nilikuwa nimeanza kutoa macho na kujiandaa na ka maji yamotoNipo jikoni msikate tamaaa
Yaani nilikuwa nimeanza kutoa macho na kujiandaa na ka maji yamoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nilikuwa nimeanza kutoa macho na kujiandaa na ka maji yamoto
Sent using Jamii Forums mobile app
MOTP kumbe ni wewe dooh...ila naisubiri TWH nione vichwa vingapi umekula na kama ulipiga hata international matchWewe kuwa mama wa MOTP sawa ila espy lazima awe kwenye orodha ya mechi za kujifunzia kwenye TWH....sio kwa kuninyanyasa kiasi hichi.
MOTP kumbe ni wewe dooh...ila naisubiri TWH nione vichwa vingapi umekula na kama ulipiga hata international match
Nipo jikoni msikate tamaaa
Nipo jikoni msikate tamaaa
Hahaa kati ya watu wote kakakuhisi wewe sijui kwa nini...acha nisubiri TWH mie nione uhusika wakoHapana weeeeeee! Tema mate chini. Mie nimeambiwa ntakuwepo kwenye Le TWH..huyo MOTP hata simjui kwanza...aendelee tu hadi apate tezi dume.
Mie mfuasi mzuri na Muumini wa Bwana ujue, kunifananisha na MOTP sio vizuri kabisaaaaa.
Acha aweke mbwembwe tu kama episode iliyopita one for the road sio mbayaTuandalie dude KLM ila usikoleze sana kesho siku ya kazi tunahitaji kujenga taifa.
Sipati picha shape yake hahaaHaha jamani eti kitambi cha maharage na ndizi mbivu yeuwii