Weekend Story! Glory Be To God!

Nimechelewa ila I could have chosen xxxxxxxxxxxxx rated lol sio kwa kunyegeshwa huku tukienda wakibip tu tumooooo!!



Mahondaw wa Smart911
 
Pole sana, ndio uwe makini umesikia big cassava zinaacha maafa wakati wa ujauzito..msifurahie tu full picture na uzazi ungalipo.
Teh Rafiki mbona kama unaniovatekisha?! Nipo nilipoishia page ya 68 big cassava sijaifikia.. Nasoma nukta by nukta siachi kituu ndo naenjoi story


Mahondaw wa Smart911
 
Inshallah Mola akurudishe salama lara. Alafu uage unasema unaleta bidhaa gani.. Man of the people na ukoo wake wote wa humu watanunua.. Si lazima uwepo ww.. Unatuelekeza sehem ya kuchukulia afu unampa ata mpemba.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mwambie Bi Mkora, anaweza akawa anaweka commercial brake anatandaza bidhaa hapa watu wanapiga vitu vya ukweli kama Msomali na Dee. lara 1 fanyia kazi huu ushauri ila chondechonde mpemba asiwe wa kuwasambazia mzigo hawa wadada wa JF, utampoteza asubuhi kabla jogoo hajawika.
 
Sweetheart, usiquote post ndefu namna hii. Kwa watumiaji wa simu inasumbua sana Ku scroll down hizi post ndefu!

Have a nice day!

- KANA -
Sawa samahani kwa usumbufu.....
 
Maisha ya sally kama ya.... Jamani mwee!!! Raha sana yan ful uzunguuu lol kuna watu wanaishi aseeeh [emoji126] [emoji126] [emoji126]


Mahondaw wa Smart911
 
Dah maskin mpemba!! Naona atakua anabaki tu ofisini. Karata dume zote zimemuangukia[emoji23][emoji23][emoji23] nyuchi zote za field kashazikosa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani km SBB ni full picture sometimes complications za mimba zinatokea tu from no where. Unaweza kua mzima KBS ukabeba mimba miezi yote Tisa mgongo unauma, kiuno kinauma homa mwanzo mwisho AF hospital unaambiwa mtoto amekaa vzr tu hakuna tatizo lolote. Shikamoo wamama mlozaa.
 

Kwani swahiba toka lini umekua team roho mbaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…