Hahahaaaaa!!! Ndio position nilopewa sasa kwenye story na story ishaandikwa haibadiliki!!! Mie dada yako, anza kwanza kuniamkia.
MMMMMMMH HAYA BWANA SASA HII MIMBA YA MIEZI MIWILI ITAKUWAJE KAMA MSOMALI NAKO MNAMSAPOTI ASIRUDI AKAE TU KWA TRUMP. DEE BWANA NDIO KAMFANYA MSOMALI AKIMBIE. SALLY ANATAKIWA NYEGE APUNGUZEE ASIWE ANAGAWA KIPAPA KAMA KARANGA ZA BWANA DOMO.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]doh
Wewe tulia umeze dawa,msomali ndo anaharibu movie Dee ndo mmiliki pale msomali mpangaji tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimba ya msomali show ya kwenye gar!Ha but at least sio mimba ya Dee. Roho ingeniumaaaaaaa
Gia inabadilishwa kavu kavu,[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Kumbukeni Sally na Dee washakaaa mezaniii! Nyie watu wazimaaa mjiongezeee kuka huko mezaniii vepeeee!
Daaah wewe jamaa umenifungua. Can't wait for our somali babes (afu nahisi ni twins), weraaaaaaaaaaaaaaMimba ya msomali show ya kwenye gar!
Ashindwe kwa kweliMama Ubaya lazima aache loophole za kufanyia manuva anapotaka kubadili gia angani..
Aaah mama Mchungaji pleaseeeeeKumbukeni Sally na Dee washakaaa mezaniii! Nyie watu wazimaaa mjiongezeee kuka huko mezaniii vepeeee!
Acha kujipa moyo story ina loophole chochote kinaweza kutokeaDaaah wewe jamaa umenifungua. Can't wait for our somali babes (afu nahisi ni twins), weraaaaaaaaaaaaaa
Hahahaha mimi sio under 18Wavunge tena? Hapo umeona kabisa hadi makasisi wamepitisha muswaada kwa kishindo..we under 18 endelea kupata tuisheni tu.
Walipiga Muchkwekwe!!Kumbukeni Sally na Dee washakaaa mezaniii! Nyie watu wazimaaa mjiongezeee kuka huko mezaniii vepeeee!
Mimi nimekunyanyasa wewe MOTP kweli!!!! Hivi naanzia wapi kwa mfano!!Kuliko uwe dadaangu afadhali wanitoe tu kwenye hiyo movie..uraiani uninyanyase, kwenye story nako unitoe KO?
Ntatumia hadi Veto kuhakikisha TWH anafanya vitu vyake.
Me mwenyewe nasubiria somalian baby ila Lara anaanza kumuingiza dee [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]Daaah wewe jamaa umenifungua. Can't wait for our somali babes (afu nahisi ni twins), weraaaaaaaaaaaaaa