Weekend Story! Glory Be To God!

Ni kweli ila wengine wanapiga mechi Msomali arudi darasani..sasa kesho kunakuamka kwenda kazini kweli?

Mbona saa hizi uko macho? Swahiba yuko wapi? Chunga mali zako rafiki...
Hahah!! He has been so busy today that's why kalala mapema Smart911 wangu .. It is workdays rafiki muda huu nipo nahudumia taifa but I will meet Smart911 on furahi day/ Saturday if God wishes


Mahondaw wa Smart911
 
Ni kweli ila wengine wanapiga mechi Msomali arudi darasani..sasa kesho kunakuamka kwenda kazini kweli?

Mbona saa hizi uko macho? Swahiba yuko wapi? Chunga mali zako rafiki...
Kweli rafiki .. Wengine Mechi wanapiga haswaa na pochi ipo weeee patamuu hapoooo[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]


Mahondaw wa Smart911
 
Mimi nilianua zaman afu nikasepa kidogo
Huwa silagi ugali wa kwenye hotpot nakula ulio toka motoni

Kuna nyumba zingine nuksi utasubiria waivishe msosi waweke mezani wapi!!! Hadi wageni waondoke..inabidi tu ukikuta wa kwenye hotpot ukandamize...utafanyaje sasa.

Unaamka kufanya nini saa hizi huku unajua fika hauna Msomali karibu? Unaweza kukuta dude predator full xxxxx adult rated kila paragraph ukajikuta unapeperusha usingizi hadi alfajiri...
 

Kwakweli story zote za lara 1 kwangu zinakua na mzuka wa aina yake kila moja. Huwezi amini ukiwa unasoma utafikiri unaangalia movie ma imagination kibao..ila kuna mambo mengi sana najifunza. Kuna ubuyu uliwahusu makasisi japo uliisha kimawengemawenge ulikua mzuri sana. Ukizingatia na mimi ni kasisi anaeibukia.

Likaja dude la one man show, the one and only one, himself Walter..

Nna sabàbu zangu binafsi kuzipenda zaidi hizo mbili lakini kila ubuyu wa Mama Ubaya, KLM hua unakuja na ladha yake na vionjo tofauti. Haitabiriki wala kuzoeleka. Kwa sie team popo zinatusaidia kufanya usiku uwe mfupi zaidi.
 
Mimi huwa nasoma na nna lala vizuri tu ata ikiwaje nalala tu narizika na maneno hayo hayo hakuna cha msomali wala m cape Verde nalala mwenyewe kwa raha zangu

Hahahaaaa yaani kila siku unalala mwenyewe kabisaaaaaaaa alaf unadiriki kusema kwa raha zangu?
 
Ndio sasa nafanyaje kwamfano
Napambana na hari yangu kwa amani

Sasa si bora uokoke tu uwe muumini kwenye kanisa la Mama Mchungaji?

Sie wengine mafaili yalishachafuka likifika tu kwa DPP hata halifungui...kesi zake anachoka mwenyewe.
 


NAIPENDA YANGA SHABIKI WA DAMU.. ileeee ya Hidaya.. Na desperate.. Afu hapo kwenye MOTP love triangle hapo muulize lara vipi MOTP bado anajimegea kisela ama no more assist??



Mahondaw wa Smart911
 

Ila Kila moja ina mashiko yake ujue all in all zote zinatupeleka mulemuleeee tunakopenda umafia ukware mitombo n.k



Mahondaw wa Smart911
 
Zote balaa [emoji2] [emoji2] [emoji2] hakuna kukereka ni mwendo wa kuliamsha dude,hapo majukumu yametubana hatukosekani kibarazani kwa lara 1

Team Dee nipo,always penzi la kwanza ni la kwanza tu halijalishi mmezeeka kukumbushia muhimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…